Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Wachambuzi: Uchaguzi wa Bunge Senegal uligubikwa na vurugu

    Wachambuzi: Uchaguzi wa Bunge Senegal uligubikwa na vurugu

    Jul 31, 2017 02:48

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Senegal amesema kuwa, uchaguzi wa Bunge uliofanyika jana nchini humo uliandamana na mapungufu na matatizo mbalimbali.

  • Uchaguzi wa Bunge Senegal unafanyika kesho Jumapili huku mivutano ya kisiasa ikiongezeka

    Uchaguzi wa Bunge Senegal unafanyika kesho Jumapili huku mivutano ya kisiasa ikiongezeka

    Jul 29, 2017 08:56

    Wananchi wa Senegal waliotimiza masharti ya kupiga kura kesho wataelekea katika masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge.

  • EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola

    EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola

    Jul 28, 2017 21:52

    Umoja wa Ulaya umefuta mpango wa kutuma timu ya waangalizi wake katika uchaguzi wa Angola unaofanyika mwezi ujao, baada ya serikali ya Luanda kutokubali baadhi ya masharti yake.

  • Baraza la Usalama lataka kufanyika uchaguzi wa Rais Kongo

    Baraza la Usalama lataka kufanyika uchaguzi wa Rais Kongo

    Jul 27, 2017 03:05

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ichukue hatua ya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa Rais unafanyika nchini humo hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • Jamhuri ya Kongo na uchaguzi wa Bunge

    Jamhuri ya Kongo na uchaguzi wa Bunge

    Jul 22, 2017 22:18

    Katika hali ambayo duru ya kwanza ya uchaguzi wa Bunge nchini Congo Brazaville ilifanyika tarehe 16 mwezi huu wa Julai; raia wa nchi hiyo hivi sasa wanajiandaa kuelekea katika masandukuru ya kupigia kura kwa ajili ya duru ya pili ya uchaguzi huo uliopangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu.

  • Ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa bunge na mabaraza ya miji Congo Brazzaville

    Ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa bunge na mabaraza ya miji Congo Brazzaville

    Jul 22, 2017 02:50

    Chama tawala cha Leba cha nchini Congo Brazzaville kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa bunge na mabaraza ya miji nchini humo.

  • Serikali ya Kongo DR yataka kutangazwa hali ya hatari nchini humo

    Serikali ya Kongo DR yataka kutangazwa hali ya hatari nchini humo

    Jul 17, 2017 09:37

    Kufuatia mapigano yaliyojiri mjini Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vyama viwili vya kisiasa washirika vinavyounda serikali ya nchi hiyo, vimetaka kutangazwa hali ya hatari nchini.

  • Wapinzani walivyosusia uchaguzi Congo Brazzaville

    Wapinzani walivyosusia uchaguzi Congo Brazzaville

    Jul 17, 2017 02:36

    Wananchi wengi wame wa Congo Brazzaville wamesusia uchaguzi wa bunge na udiwani na kufanya fujo ikiwa ni pamoja na kuchoma moto vituo vya kupigia kura. Mwito wa kususia uchaguzi huo ulitolewa mapema na vayma vya upinzani. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi kutoka Brazzaville

  • Jaji Mkuu Kenya amuonya Rais Uhuru, usivunje imani ya wananchi

    Jaji Mkuu Kenya amuonya Rais Uhuru, usivunje imani ya wananchi

    Jul 10, 2017 03:43

    Jaji Mkuu wa Kenya amemuonya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo akimtaka kuacha kuvunja imani ya wananchi kwa mahakama za nchi hiyo.

  • Indhari ya viongozi wa Kiafrika kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Indhari ya viongozi wa Kiafrika kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Jun 19, 2017 21:59

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuendelea kutolewa miito ya kuzuia kuchukua mkondo mpana zaidi mgogoro wa nchi hiyo, Kofi Annan Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa na Marais kadhaa wa zamani wa nchi za Afrika wametoa indhari wakieleza kwamba, hali ya nchi hiyo ni mbaya na hivyo wametaka kutumiwa njia za amani kuinasua nchi hiyo na mgogoro huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS