Wapinzani walivyosusia uchaguzi Congo Brazzaville
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i31930-wapinzani_walivyosusia_uchaguzi_congo_brazzaville
Wananchi wengi wame wa Congo Brazzaville wamesusia uchaguzi wa bunge na udiwani na kufanya fujo ikiwa ni pamoja na kuchoma moto vituo vya kupigia kura. Mwito wa kususia uchaguzi huo ulitolewa mapema na vayma vya upinzani. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi kutoka Brazzaville
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jul 17, 2017 02:36 UTC