-
Umoja wa Mataifa waunga mkono uchaguzi wa rais Somalia
May 17, 2016 09:25Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema linaunga mkono kikamilifu mpango wa kufanyika uchaguzi mkuu nchini Somalia.
-
Mahakama ya Katiba Comoro yaidhinisha ushindi wa Kamanda Azali Assoumani
May 15, 2016 23:08Mahakama ya Katiba nchini Comoro imemtangaza Kamanda Azali Assoumani kuwa mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais katika visiwa hivyo.
-
Baraza la Katiba la Chad laidhinisha matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyomrejesha madarakani Rais Deby
May 03, 2016 23:53Baraza la Katiba la Chad limeidhinisha matokeo ya uchaguzi wa Rais uliofanyika nchini humo Aprili 10 ya mwezi uliopita na kumrejesha tena madarakani Rais Idriss Deby wa nchi hiyo.
-
Uchaguzi wa Rais katika visiwa vya Comoro kurejewa katika baadhi ya maeneo
May 01, 2016 03:11Mahakama ya Katiba katika visiwa vya Comoro imetoa amri ya kurejewa uchaguzi wa Rais katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
-
Rais wa Equitorial Guinea ahifadhi kiti chake kwa kupata 98% ya kura
Apr 26, 2016 03:53Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Equitorial Guinea yanaonyesha kuwa Rais Teodoro Obiang Nguema ameshinda kiti hicho kwa kupata asilimia 98 ya kura zilizopigwa.
-
Wapinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wataka kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu
Apr 25, 2016 02:25Wapinzani wa serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametoa wito wa kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.
-
AU: Uchaguzi wa Djibouti ulikuwa huru na wa haki
Apr 11, 2016 03:33Licha ya lalama kutoka vyama vya upinzani, lakini Umoja wa Afrika AU umesema uchaguzi mkuu wa Djibouti wa Ijumaa iliyopita ulikuwa huru na wa haki.
-
Upinzani Djibouti: Kulikuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi wa rais
Apr 10, 2016 03:21Viongozi wa upinzani nchini Djibouti wametangaza kutotambua ushindi wa Rais Ismail Omar Guelleh katika uchaguzi mkuu uliofanyika Ijumaa iliyopita.
-
Uchaguzi wa rais Djibouti, baadhi ya wakuu wa upinzani waususia
Apr 08, 2016 04:36Wananchi wa Djibouti waliotimiza mashari ya kupiga kura leo wameelekea kwenye masanduku ya kupiga kura kumchagua rais mpya, katika uchaguzi ambao aghalabu ya vyama vya upinzani nchini humo vimeususia.
-
Mahakama ya Juu Uganda yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Museveni
Mar 31, 2016 09:33Mahakama ya Juu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Waziri Mkuu wa zamani nchini humo Amama Mbabazi ya kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa rais wa Februari mwaka huu.