-
Kuanza uchaguzi wa rais nchini Misri, viashiria hasi vya uchaguzi
Mar 17, 2018 00:18Uchaguzi wa rais wa Misri ulianza jana Ijumaa machi 16 kwa Wamisri wanaoishi katika nchi 124 za kigeni na utaendelea kwa muda wa siku tatu.
-
Uchaguzi wa rais Misri waanza nje ya nje, wapinzani wataka wananchi wasusie
Mar 16, 2018 00:53Uchaguzi wa rais wa Misri umenza leo Ijumaa nje ya nchi hiyo huku wapinzani wa serikali ya jenerali mstaafu, Abdul Fattah al Sisi wakiwataka wananchi wasusie zoezi hilo kwa hoja kwamba, halitakuwa huru na la wazi.
-
Kinara wa upinzani DRC azindua azma ya kuwania urais akiwa uhamishoni
Mar 13, 2018 03:57Moise Katumbi, kiongozi mashuhuri wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeko uhamishoni amezindua rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao baadaye mwaka huu.
-
Mgombea wa upinzani nchini Sierra Leone aongoza huku duru ya pili ikitarajiwa
Mar 12, 2018 04:32Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais yanayoendelea kutangazwa nchini Sierra Leone yanaonesha kuwa, mgombea wa upinzani anaongoza huku akiwa amemuacha mbali mgombea wa chama tawala kwa zaidi ya kura elfu 15.
-
Uchaguzi wa Rais Sierra Leone waingia duru ya pili
Mar 12, 2018 03:33Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Sierra Leone yameonesha kwamba, hakuna mgombea aliyefanikiwa kupata ushindi mutlaki na kwa msingi huo uchaguzi huo umeingia duru ya pili.
-
DRC yasisitiza kuwa uchaguzi wa rais utafanyika mwaka huu kama ulivyopangwa
Mar 08, 2018 12:39Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema uchaguzi wa rais utafanyika mwishoni mwa mwaka huu kama ulivyopangwa licha ya changamoto wanazokabiliwa nazo.
-
UN yakosoa ukandamizaji Misri kuelekea uchaguzi wa rais
Mar 07, 2018 22:10Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa mazingira ya vitisho, ukandamizaji na kuwekewa mbinyo wanasiasa wa upinzani nchini Misri kuelekea uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu.
-
Kuongezeka machafuko na upinzani dhidi ya serikali DRC
Feb 27, 2018 03:01Maandamano ya kuipinga serikali ya Rais Joseph Kabila ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamevunjwa kwa nguvu za polisi mjini Kinshasa. Taarifa zinasema kuwa mtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa risasi za polisi.
-
CCM yatwaa majimbo ya Kinondoni na Siha, askari 6 wakamatwa mauaji ya mwanachuo
Feb 18, 2018 12:15Chama cha Mapinduzi (CCM) huko nchini Tanzania kimetangazwa mshindi wa chaguzi ndogo za majimbo ya Siha mkoani Kilimanjaro na Kinondoni jijini Dar es Salaam ambayo kabla ya kujiuzulu wabunge wake yalikuwa mikononi mwa vyama vya upinzani.
-
Chaguzi ndogo zenye mchuano mkali zafanyika Tanzania
Feb 17, 2018 05:21Habari kutoka nchini Tanzania zinasema kuwa zoezi kupiga kura katika chaguzi ndogo za ubunge na udiwani katika baadhi ya maeneo, Tanzania Bara limeanza rasmi asubuhi ya leo Jumamosi tarehe Februari 17, 2018.