-
Uongozi wa Imam Khomeini (RA) na athari zake katika kufanikiwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Jan 31, 2025 13:32Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika mfululizo wa vipindi vyetu vya Alfajiri Kumi na hiki ni kipindi chetu cha kwanza katika kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote
Nov 28, 2024 11:26Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imemshukuru Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kutokana na himaya yake na hatua za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kusimamisha vita nchini Lebanon.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kimsingi hasa Wamagharibi ni maadui wa Haki za Binadamu
Apr 06, 2023 03:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Wamagharibi haiwaelekei kwa namna yoyote ile watoe madai ya haki za binadamu na akasisitiza kwamba, kimsingi hasa Wamagharibi ni maadui wa Haki za Binadamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; Qur'ani, Umaanawi na Umoja
Feb 07, 2023 05:32Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mnaponitegea sikio wakati huu. Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kusikiliza mfululizo mwingine wa vipindi hivi maalumu tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambapo kwa leo tutazungumzia nafasi ya Qur'ani, Umaanawi, Uongozi wa Imam Khomeini na Umoja wa matabaka mbalimbali ya jamii ya Iran katika kufanikisha mapinduzi hayo. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu
Feb 15, 2022 03:03Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu
Feb 07, 2021 10:28Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.
-
Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani
May 27, 2020 03:58Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Ulimwengu wavutiwa na mafundisho ya kidini
May 09, 2019 09:26Huku akiashiria hitajio muhimu la wamadamu wa leo kuhusiana na mafundisho ya dini na vilevile hamu inayoonyeshwa na Ulimwengu wa Kiislamu na hata jamii zisizokuwa za Kiislamu kuhusu suala hilo, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, leo jukumu la vyuo vya kidini ni zito zaidi ikilinganishwa na huko nyuma.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatua za lazima zichukuliwe ili kutatua matatizo ya waathiriwa mafuriko ya Iran
Apr 03, 2019 03:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ufikishaji huduma, kuweko uratibu katika sekta mbalimbali, hamasa ya kusaidia na moyo wa Kibasiji wa wananchi katika matukio ya mafuriko ya hivi karibuni hapa nchini ni mambo yaliyoonekana wazi katika mikoa kadhaa, lakini bado kuna haja ya kuchukuliwa hatua za lazima na kuendelezwa umakini mkubwa zaidi ili kuhakikisha kwamba, matatizo na machungu ya waathiriwa wa mafuriko hayo yanaondolewa.
-
Mamilioni waadhimisha kumbukumbu za maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) duniani kote
Oct 30, 2018 14:48Mamilioni ya Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayti wa Mtume (saw) wameshiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Hussein (as), katika pembe mbalimbali za dunia.