-
Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Iran yatua mjini Kabul, Afghanistan
Oct 05, 2021 07:17Ndege yenye misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wenye shida wa Afghanistan, imetua katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul na misaada hiyo kukabidhiwa viongozi wa serikali ya mpito ya Taliban.
-
Taliban yasambaratisha ngombe ya ISIS kaskazini mwa Kabul
Oct 04, 2021 08:06Kundi la Taliban nchini Afghanistan limetangaza habari ya kuuvunja mtandao wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) huko kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
-
Russia: Marekan inawahamishia Afghanistan magaidi wa Daesh
Oct 03, 2021 01:09Naibu Kamanda wa Wilaya ya Kati ya Jeshi la Russia amesema kuwa jeshi la Marekani linawahamisha magaidi walioko Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Mahakama ya ICC yafumbia jicho jinai zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan
Sep 28, 2021 08:39Licha ya uhalifu mkubwa na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani nchini Afghanistan katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) sasa inakusudia kuweka kando uchunguzi kuhusu uhalifu wa kivita uliofanywa na wanajeshi wa Marekani na NATO nchini humo.
-
ICC kuchunguza tuhuma za jinai zilizofanywa na Taliban na Daesh
Sep 28, 2021 03:47Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetangaza kuwa, kipaumbele cha taasisi hiyo kuhusu uchunguzi wa jinai za kivita zilizofanyika nchini Afghanistan sasa kitaelekezwa kwa makundi ya Taliban na Daesh.
-
Wasiwasi wa Pakistan wa kuweko magenge ya kigaidi nchni Afghanistan
Sep 27, 2021 01:02Waziri Mkuu wa Pakistan ameelezea wasiwasi wake kutokana na kuweko magenge ya kigaidi katika nchi jirani ya Afghanistan kama vile Daesh (ISIS) na Tehrik-i-Taliban.
-
Udharura wa kuchunguzwa jinai zilizofanywa na Marekani na Uingereza nchini Afghanistan
Sep 25, 2021 07:31Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imetoa ripoti ikithibitisha kuwa majeshi vamizi ya Marekani, shirika la NATO na Uingereza yenyewe yameua raia nchini Afghanistan.
-
WHO yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya Afghanistan tangu Taliban washike madaraka
Sep 24, 2021 03:31Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu hali ya Afghanistan tangu kundi la wapiganaji wa Taliban liliposhika madaraka ya nchi hiyo na kutangaza kuwa Afghanistan inakaribia kutumbukia katika maafa ya binadamu.
-
Sanders: Mauaji ya jeshi la Marekani dhidi ya raia wa Afghanistan ni maafa ya binadamu
Sep 19, 2021 22:31Mwanasiasa, mwanaharakati na seneta mashuhuri wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema kuwa shambulizi lililofanywa na jeshi la nchi hiyo huko Afghanistan ambalo limeua raia 10 wasio na hatia yoyote ni maafa ya binadamu.
-
Khatibzadeh: Kuna udharura wa kuundwa serikali jumuishi nchini Afghanistan
Sep 19, 2021 12:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, kuna udharura wa kuundwa serikali itakayoshirikisha makundi na kaumu zote za Afghanistan.