Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Kuundwa serikali ya Taliban nchini Afghanistan

    Kuundwa serikali ya Taliban nchini Afghanistan

    Sep 09, 2021 04:39

    Serikali ya mpito iliyoundwa na wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan imeanza rasmi kazi zake.

  • Iran yatilia mkazo wajibu wa kulindwa usalama na utulivu nchini Afghanistan

    Iran yatilia mkazo wajibu wa kulindwa usalama na utulivu nchini Afghanistan

    Sep 09, 2021 03:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba, suala la usalama na utulivu wa Afghanistan ni muhimu sana kwa Iran.

  • Rais Raisi: Mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana

    Rais Raisi: Mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana

    Sep 08, 2021 22:47

    Rais Ebrahim Raisi amesema, mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuchungwa na kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana baina ya pande mbili.

  • Umoja wa Mataifa: Nusu ya raia wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Umoja wa Mataifa: Nusu ya raia wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Sep 08, 2021 07:19

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kibinadamu amesema kuwa, nusu ya wananchi wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu.

  • Amir-Abdollahian: Iran inataka Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi

    Amir-Abdollahian: Iran inataka Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi

    Sep 08, 2021 02:42

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi.

  • Umoja wa Mataifa: Huduma muhimu nchini Afghanistan zimo katika hali ya kusambaratika

    Umoja wa Mataifa: Huduma muhimu nchini Afghanistan zimo katika hali ya kusambaratika

    Sep 07, 2021 22:08

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uratibu wa misaada ya kibinadamu, (OCHA) imetangaza kuwa, mamilioni ya wananchi wa Afghanistan wanahitajia misaada ya chakula pamoja na huduma za kiafya.

  • China, Qatar na Uturuki zatajwa kuwa washirika wakuu wa Taliban katika kuijenga Afghanistan

    China, Qatar na Uturuki zatajwa kuwa washirika wakuu wa Taliban katika kuijenga Afghanistan

    Sep 07, 2021 03:36

    Msemaji wa kundi la Taliban amesema, China, Uturuki na Qatar ni washirika wakuu wa kundi hilo kwa ajili ya kuijenga upya Afghanistan.

  • Borrell: Afghanistan imedhihirisha mapungufu ya Umoja wa Ulaya

    Borrell: Afghanistan imedhihirisha mapungufu ya Umoja wa Ulaya

    Sep 06, 2021 20:53

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa Afghanistan kwa kiasi kikubwa imeonyesha kuwa, mapungufu na kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua hatua kimataifa kuna gharama zake.

  • Mpango wa Taliban wa kubadilisha katiba ya Afghanistan

    Mpango wa Taliban wa kubadilisha katiba ya Afghanistan

    Sep 06, 2021 20:48

    Mmoja wa wanachama wa Baraza la Uongozi la Taliban amesema kuna tofauti kubwa kati ya mfumo wa siasa wa zamani na wa sasa wa kundi hilo na kwamba siasa mpya za kundi hilo haziwezi kulinganishwa hata kidogo na za zamani.

  • Qalibaf: Kuondoka kwa madhila Afghanistan, dalili ya kusambaratika US

    Qalibaf: Kuondoka kwa madhila Afghanistan, dalili ya kusambaratika US

    Sep 05, 2021 22:34

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema hatua ya Marekani kuondoka kwa fedheha na madhila nchini Afghanistan imeonesha wazi kuwa Washington iko katika mkondo wa kusambaratika na kupoteza nguvu na ushawishi wake katika uga wa kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS