Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Qalibaf: Kuondoka kwa madhila Afghanistan, dalili ya kusambaratika US

    Qalibaf: Kuondoka kwa madhila Afghanistan, dalili ya kusambaratika US

    Sep 05, 2021 22:34

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema hatua ya Marekani kuondoka kwa fedheha na madhila nchini Afghanistan imeonesha wazi kuwa Washington iko katika mkondo wa kusambaratika na kupoteza nguvu na ushawishi wake katika uga wa kimataifa.

  • Ahmad Masoud asisitiza kuendelea kupambana na kundi la Taliban

    Ahmad Masoud asisitiza kuendelea kupambana na kundi la Taliban

    Sep 04, 2021 03:29

    Ahmad Masoud, Kiongozi wa Waafghanistan wanaolipinga kundi la Taliban ametoa mwito wa kuendelezwa mapambano dhidi ya kundi hilo.

  • Msimamo wa Pakistan kuhusu masharti ya msaada wa jamii ya kimataifa kwa Taliban huko Afghanistan

    Msimamo wa Pakistan kuhusu masharti ya msaada wa jamii ya kimataifa kwa Taliban huko Afghanistan

    Sep 02, 2021 06:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema kuwa kundi la Taliban linaweza kupatiwa misaada ya kimataifa kwa sharti kwamba liheshimu vipengee mbalimbali vya haki za binadamu.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu tatizo kubwa wa chakula nchini Afghanistan

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu tatizo kubwa wa chakula nchini Afghanistan

    Sep 02, 2021 02:57

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na uhaba mkubwa chakula nchini Afghanistan na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuisaidia nchi hiyo.

  • EU: Kudhibitiwa Afghanistan na kundi la Taliban ni pigo kubwa kwa Magharibi

    EU: Kudhibitiwa Afghanistan na kundi la Taliban ni pigo kubwa kwa Magharibi

    Sep 01, 2021 22:29

    Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema katika ujumbe wake kwa gazeti la New York Times kuwa, matukio ya Afghanistan na uamuzi wa Marekani wa kutoka nchini humo ni kengele ya hatari kwa bara la Ulaya.

  • Sisitizo la Biden la kufikia tamati enzi za Marekani za

    Sisitizo la Biden la kufikia tamati enzi za Marekani za "Ujengaji Taifa kwa operesheni za kijeshi"

    Sep 01, 2021 22:28

    Siku ya Jumanne ya tarehe 31 Agosti, Rais Joe Biden wa Marekani alitoa hotuba maalum kwa mnasaba wa kuondoka rasmi askari wa nchi hiyo katika ardhi ya Afghanistan, ambapo alikufananisha kuondoka katika nchi hiyo iliyoharibiwa na vita kuwa ni sawa na kufikia tamati enzi za kutumia operesheni za kijeshi kwa ajili ya kuzijenga nchi upya; na akasema:

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan haukuwa na matunda ghairi ya uharibifu

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan haukuwa na matunda ghairi ya uharibifu

    Aug 31, 2021 22:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan haukuwa na matunda yoyote ghairi ya kusababisha uharibifu mkubwa nchini humo.

  • Moscow: Tunataraji silaha za Wamarekani hazitatumika katika vita vya ndani  Afghanistan

    Moscow: Tunataraji silaha za Wamarekani hazitatumika katika vita vya ndani Afghanistan

    Aug 30, 2021 23:09

    Mjumbe Maalumu wa Rais wa Russia katika Masuala ya Afghanistan ameeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa ya silaha zililizoachwa na wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan na kusema kuwa kuna uwezekano Moscow ikashiriki katika kujenga upya uchumi wa nchi hiyo.

  • Kukaribia uundwaji wa serikali mpya ya Afghanistan

    Kukaribia uundwaji wa serikali mpya ya Afghanistan

    Aug 30, 2021 21:53

    Msemaji wa kundi la Taliban ametangaza kuwa, serikali mpya ya Afghanistan itaundwa katika kipindi cha wiki mbili zijazo.

  • Watoto ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio la drone la Marekani Afghanistan

    Watoto ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio la drone la Marekani Afghanistan

    Aug 30, 2021 06:56

    Watoto wadogo ni miongoni mwa raia kadhaa waliouawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS