Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la uungaji mkono wa Iran kwa wananchi wa Afghanistan

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la uungaji mkono wa Iran kwa wananchi wa Afghanistan

    Aug 29, 2021 05:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kuashiria mazingira ya sasa ya Afghanistan amesisitiza himaya na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamuu ya Iran kwa wananchi wa nchi hiyo.

  • Baqeri: Marekani imeondoka Afghanistan baada ya kushindwa kwa fedheha

    Baqeri: Marekani imeondoka Afghanistan baada ya kushindwa kwa fedheha

    Aug 29, 2021 03:09

    Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Marekani imeondoka nchini Afghanistan baada ya kushindwa kwa fedheha.

  • Johnson: Tutaendelea kufanya mazungumzo na Taliban

    Johnson: Tutaendelea kufanya mazungumzo na Taliban

    Aug 28, 2021 03:41

    Waziri Mkuu wa Uingereza amesema hakuna uhusiano wowote kati ya Daesh na Taliban na kueleza kuwa serikali ya Uingereza itaendelea kufanya mazungumzo na kundi la Taliban.

  • Matukio ya Afghanistan; sisitizo la umuhimu wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi

    Matukio ya Afghanistan; sisitizo la umuhimu wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi

    Aug 27, 2021 22:07

    Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.

  • Safari ya Shah Mahmood Qureshi mjini Tehran; Afghanistan ajenga kuu ya mazungumzo ya Iran na Pakistan

    Safari ya Shah Mahmood Qureshi mjini Tehran; Afghanistan ajenga kuu ya mazungumzo ya Iran na Pakistan

    Aug 27, 2021 08:50

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Rais Ibrahim Raeisi na kujadili pamoja na kubadilishana mawazo kuhusiana na uhusiano wa pande mbili huku matukio ya hivi karibuni nchini Afghanistan yakitawala katika mazungumzo yao.

  • Iran yalaani mashambulio ya Kabul, ISIS yatangaza kuhusika nayo

    Iran yalaani mashambulio ya Kabul, ISIS yatangaza kuhusika nayo

    Aug 27, 2021 03:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulio ya kigaidi yaliyotokea nje ya uwanja wa ndege wa Kabul nchini Afghanistan jana Alkhamisi.

  • Merkel aitaka jamii ya kimataifa kuzungumza na Taliban

    Merkel aitaka jamii ya kimataifa kuzungumza na Taliban

    Aug 25, 2021 23:14

    Kinyume kabisa na msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu kundi la wanamgambo wa Taliban la Afghanistan, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameitolea mwito jamii ya kimataifa kufanya mazungumzo na kundi hilo.

  • Wakimbizi kutoka Afghanistan waanza kuwasili Uganda

    Wakimbizi kutoka Afghanistan waanza kuwasili Uganda

    Aug 25, 2021 08:27

    Kundi la kwanza la makumi ya wakimbizi kutoka Afghanistan limewasili nchini Uganda.

  • Taliban: Hatutaongeza muda wa siku ya mwisho ya askari wa kigeni kuondoka Afghanistan

    Taliban: Hatutaongeza muda wa siku ya mwisho ya askari wa kigeni kuondoka Afghanistan

    Aug 23, 2021 22:17

    Taliban imetoa onyo kwa Marekani ikisisitiza kuwa, siku ya mwisho iliyoainishwa kwa askari wa nchi hiyo kuondoka Afghanistan ni "mstari mwekundu" kwa kundi hilo na kwamba kurefushwa kwa muda wa zoezi hilo kutakuwa na "matokeo mabaya".

  • Askari wa Marekani wawalaghai Waafghani wanaotaka kuondoka Kabul

    Askari wa Marekani wawalaghai Waafghani wanaotaka kuondoka Kabul

    Aug 22, 2021 23:01

    Imefichuka kuwa, maafisa usalama wa Marekani walioko katika Uwanja wa Ndege wa Kabul nchini Afghanistan wanawaitisha mlungula Waafghani wanaotaka kuondoka katika mji mkuu huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS