Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa

    Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa

    Jan 08, 2025 12:07

    Kufuatia kauli za Rais wa Ufaransa kwamba nchi za Afrika zimesahau kuishukuru Paris kwa kushiriki katika kile anachosema ni 'mapambano dhidi ya ugaidi' katika eneo la Sahel, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad amekosoa maneno hayo na kuyalaani.

  • Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika

    Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika

    Jan 07, 2025 08:48

    Chad imeelezwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron dhidi ya viongozi wa Afrika.

  • Ghana yafuta viza ya kuingia nchini humo kwa wenye pasi za kusafiria za Afrika

    Ghana yafuta viza ya kuingia nchini humo kwa wenye pasi za kusafiria za Afrika

    Jan 04, 2025 03:53

    Rais wa Ghana anayeondoka madarakani, Nana Akufo-Addo, ametangaza kuondoa viza ya kuingia nchini humo kwa wale wote wenye pasi za kusafria za Afrika.

  • Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria

    Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria

    Jan 02, 2025 03:18

    Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.

  • Rais wa Ufaransa akiri, Afrika imebadilika

    Rais wa Ufaransa akiri, Afrika imebadilika

    Dec 22, 2024 08:48

    Wakati Ufaransa imepoteza kambi zake nyingi za kijeshi barani Afrika, sasa rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron, katika safari ya kimyakimya kwenye kituo cha mwisho cha operesheni za nchi hiyo huko Djibouti, amekiri kwamba: Afrika inabadilika kwa sababu maoni ya umma na Serikali yamo katika hali ya kubadilika, hivyo nafasi yetu barani Afrika pia itabadilika.

  • Wananchi wa Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel

    Wananchi wa Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel

    Dec 07, 2024 23:00

    Wananchi wa Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza.

  • Watu karibu 100 wamepoteza maisha katika ghasia kubwa wakati wa mechi ya soka huko Guinea Conakry

    Watu karibu 100 wamepoteza maisha katika ghasia kubwa wakati wa mechi ya soka huko Guinea Conakry

    Dec 02, 2024 08:36

    Ripoti zinasema kuwa vurugu zilitokeka jana wakati wa mechi kati ya timu ya soka ya Labe na Nzerekore huko Nzerekore, jiji la pili kwa ukubwa huko Guinea magharibi mwa Afrika.

  • Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia

    Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia

    Nov 09, 2024 07:08

    Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano wa Russia na Afrika umeanza leo katika mji wa pwani wa Sochi, kusini mwa Russia; kuashiria muundo mpya wa kawaida wa mazungumzo kufuatia mikutano ya kilele kati ya pande mbili hizo.

  • Chad yakanusha kuwaua raia katika mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo

    Chad yakanusha kuwaua raia katika mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo

    Nov 02, 2024 23:40

    Serikali ya Chad imekanusha vikali ripoti kwamba jeshi lake liliwashambulia raia katika operesheni dhidi ya wanamgambo wanaobeba silaha.

  • UPSR: Afrika inajua kuwa BRICS imebadilisha mlingano wa jiopolitiki duniani

    UPSR: Afrika inajua kuwa BRICS imebadilisha mlingano wa jiopolitiki duniani

    Oct 23, 2024 22:49

    Kiongozi mwandamizi wa chama kimoja cha upinzani nchini Cameroon amesema jumuiya ya BRICS ni mbadala halisi wa kuleta mlingano kwenye jiopolitiki duniani na kusisitiza kwamba, nchi za Afrika zinaelewa fika suala hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS