-
Mamilioni ya Waafrika kuwa masikini kwa sababu ya mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi
Oct 22, 2024 22:55Wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi wametahadharisha kuwa mgogoro wa hali ya hewa Afrika utawaelekeza katika umaskini watu wengine zaidi milioni 150 ifikapo mwaka 2050.
-
Guterres: Hatua madhubuti zichukuliwe kushughulikia migogoro na umaskini Afrika
Oct 22, 2024 11:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua madhubuti zinapasa kuchukuliwa ili kushughulikia mabadiliko ya tabianchi, migogoro na umaskini barani Afrika.
-
Ramaphosa aitolea wito BRICS kuwekeza pakubwa barani Afrika
Oct 21, 2024 08:35Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amelitolea wito kundi la BRICS kuwekeza katika maendeleo ya bara la Afrika kwa kuzingatia uwezo wa bara hilo.
-
Vifo vya Mpox vyapindukia 1,000 huku maambukizi yakienea katika nchi 18 za Afrika
Oct 18, 2024 10:30Bara la Afrika wiki iliyopita lilisajili vifo vipya 50 vilivyosababishwa na ugonjwa wa virusi wa Mpox na hivyo kufanya idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo kufikia 1,100 tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Ripoti hii ni kwa mujibu wa takwimu mpya za Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (Africa CDC).
-
Ufaransa yamkamata mwanaharakati anayepinga ukoloni Afrika
Oct 16, 2024 03:39Mwanaharakati na mwanamajimui mashuhuri wa kupinga ukoloni mamboleo barani Afrika, Stellio Gilles Robert Capo Chichi, maarufu kama Kemi Seba, amekamatwa nchini Ufaransa.
-
WHO: Takriban kesi 30,000 zinazoshukiwa kuwa za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa Afrika mwaka huu
Sep 24, 2024 22:52Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takriban kesi 30,000 zinazoshukiwa kuwa za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa mwaka huu barani Afrika, huku wengi wa walioambukizwa wakitoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ramaphosa: Afrika ipewe kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la UN
Sep 19, 2024 23:02Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesisitiza kuwa Afrika inapasa kupewa uwakilishi wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC).
-
Iran yaazimia kuimarisha uhusiano na Burkina Faso
Sep 12, 2024 07:37Balozi wa Iran nchini Burkina Faso, Mojtaba Faqihi amekutana na Abubakar Nakanabo, Waziri wa Uchumi na Fedha wa taifa hilo la Afrika Magharibi na kujadili umuhimu wa kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyuga za kiuchumi, kiufundi na kibiashara.
-
Nigeria: BRICS inayahamasisha mataifa ya Afrika
Aug 29, 2024 23:09Balozi wa Manispaa ya Kimataifa ya BRICS (IMBRICS) nchini Nigeria amesema jumuiya ya kiuchumi ya BRICS imekuwa chanzo kikubwa cha motisha na hamasa kwa nchi nyingi za Afrika, kwa kuwa inazihimiza kupigania uhuru wao na kupinga ushawishi na ubeberu wa Magharibi.
-
Afrika kupata chanjo za mpox karibu milioni moja
Aug 29, 2024 04:12Wakala wa Afya wa Umoja wa Afrika jana ulieleza kuwa unakaribia kupata karibu dozi milioni moja za chanjo ya mpox, na kuwataka wazalishaji kuzipatia taasisi nyingine teknolojia ya kutengeneza chanjo ya mpox ili kukabiliana na ugonjwa huo.