Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Mar 07, 2023 04:16

    Maafisa wa ngazi za juu wa Iran wamesema kupanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni moja ya sera kuu za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.

  • AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika

    AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika

    Mar 07, 2023 03:56

    Viongozi wa sekta za afya Afrika wamesema dunia haitafanikiwa kuwa na usalama wa afya, iwapo nchi za bara hilo zitaendelea kutengwa.

  • Mafuriko yahofiwa kuongeza hatari ya kipindupindu barani Afrika

    Mafuriko yahofiwa kuongeza hatari ya kipindupindu barani Afrika

    Mar 03, 2023 04:14

    Shirika la Afya Duniani WHO limetahadharisha kuwa, ingawa idadi ya wagonjwa wa kipindupindu ya kila wiki katika nchi zilizoathirika na mripuko wa ugonjwa huo barani Afrika inapungua, lakini mafuriko makubwa yanayotokana na mvua za msimu na vimbunga vya kitropiki kusini mwa Afrika yanaongeza hatari ya ugonjwa huo kuenea na kutishia kudhoofisha juhudi za kuudhibiti.

  • Juhudi za Macron za kutetea kupunguzwa vikosi vya jeshi la Ufaransa barani Afrika

    Juhudi za Macron za kutetea kupunguzwa vikosi vya jeshi la Ufaransa barani Afrika

    Mar 01, 2023 22:49

    Katika mkesha wa safari ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, barani Afrika ambayo inafanyika baada ya nchi hiyo kushindwa na kufeli sera zake barani Afrika; kiongozi huyo wa Ufaransa ametangaza kupunguzwa kwa vikosi vya jeshi vya Ufaransa katika bara hilo.

  • Mali: Russia ni mshirika wa kutegemewa wa nchi za Afrika

    Mali: Russia ni mshirika wa kutegemewa wa nchi za Afrika

    Feb 28, 2023 22:50

    Kaimu Waziri Mkuu wa Mali amesema Russia inaliheshimu na imelisaidia pakubwa taifa hilo la Afrika Magharibi katika vita dhidi ya ugaidi, na imethibitisha kivitendo kuwa haina masharti wala malengo fiche kwenye usaidizi wake.

  • Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran

    Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran

    Feb 28, 2023 04:05

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amekutaja kupanua uhusiano na maingiliano na nchi za Kiafrika hususan Zimbabwe kuwa ni moja ya njia kuu za sera za kigeni za Iran.

  • Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia

    Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia

    Feb 26, 2023 08:00

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi za Afrika hivi sasa zinashuhudia mashinikizo makubwa ya kuzitaka zikate uhusiano wao na Russia.

  • Ukame mkubwa umelikumba eneo la Pembe ya Afrika kuliko njaa ya mwaka 2011

    Ukame mkubwa umelikumba eneo la Pembe ya Afrika kuliko njaa ya mwaka 2011

    Feb 23, 2023 03:24

    Mwenendo wa ukame katika Pembe ya Afrika unaripotiwa kuwa mbaya zaidi hivi sasa kuliko ilivyokuwa wakati wa njaa ya 2011 ambapo mamia ya maelfu ya watu waliaga dunia.

  • Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso

    Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso

    Feb 21, 2023 07:22

    Hatimaye vikosi vya Ufaransa vimeondoka nchini Burkina Faso na kuhitimisha uwepo wake katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika uliodumu kwa miaka 10.

  • WHO yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea mlipuko mpya wa Marburg barani Afrika

    WHO yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea mlipuko mpya wa Marburg barani Afrika

    Feb 20, 2023 04:11

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu uwezekano wa kuenea kwa virusi vya Marburg na kutokea mlipuko mpya wa ugonjwa huo katika bara la Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS