-
Guterres: Afrika ipewe kiti cha kudumu Baraza la Usalama la UN
Feb 19, 2023 23:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameunga mkono wito wa kutolewa kiti cha kudumu cha Baraza la Usalama kwa bara la Afrika.
-
Wakuu wa Anglikana Afrika watishia kujitenga na UK kwa kubariki ushoga
Feb 18, 2023 06:17Viongozi wa Kanisa la Kianglikana barani Afrika wametishia kujitenga na Kanisa la Uingereza kwa kubariki na kuruhusu ndoa na mahusiano ya watu wenye jinsia moja.
-
Mkutano wa viongozi wa Afrika kuanza leo, mpango wa "Kunyamazisha Bunduki" unajadiliwa
Feb 18, 2023 00:03Mkutano wa 36 wa viongozi wa nchi za Afrika unaanza leo Jumamosi, katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kujadili masuala kadhaa hasa maendeleo yaliyopatikana katika kampeni ya "Kunyamazisha Bunduki" na changamoto za usalama wa chakula barani Afrika.
-
Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake
Feb 13, 2023 22:56Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.
-
Botswana yatishia kukata uhusiano na kampuni ya almasi ya Uingereza
Feb 13, 2023 06:47Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana ameonya kuwa, huenda nchi yake ikavunja uhusiano na shirika kubwa la kimataifa la almasi la De Beers, lenye makao yake huko London, Uingereza, kwa kupunjwa.
-
Papa alaani ukoloni wa kiuchumi barani Afrika
Feb 02, 2023 05:45Jumanne wiki hii, katika siku ya kwanza ya safari yake Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, amelaani vikali "ukoloni wa kiuchumi" unaotekelezwa barani Afrika na hasa katika nchi hiyo.
-
Ujerumani yakosolewa kwa ujumbe wa Twitter wa kuidhalilisha Afrika
Jan 29, 2023 09:09Viongozi na watumiaji mitandao ya kijamii katika nchi za Afrika wameijia juu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa kuchapisha ujumbe wa dharau na kulidhalilisha bara hilo.
-
Ziara ya kiduru ya Lavrov katika nchi za Afrika; jitihada za Russia za kuzidisha satwa yake barani Afrika
Jan 28, 2023 08:50Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Jumatatu tarehe 23 mwezi huu alianza safari ya kiduru kwa kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na hadi sasa amefanya safari huko Afrika Kusini, Eswatini, Angola na Eritrea.
-
Wafadhili waahidi dola bilioni 30 kwa ajili ya kilimo barani Afrika
Jan 28, 2023 08:19Washirika wa maendeleo wa Afrika wameahidi kutoa dola bilioni 30 kwa maendeleo ya kilimo na uhuru wa chakula kwa bara hilo katika miaka mitano ijayo.
-
Ijumaa tarehe 13 Januari mwaka 2023
Jan 12, 2023 23:12Leo ni Ijumaa tarehe 20 Jumadithani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Januari 2023.