Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Jan 09, 2023 07:20

    Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).

  • Wataalamu: Kuomba radhi hakutoshi, Uholanzi iifidie Afrika kwa utumwa

    Wataalamu: Kuomba radhi hakutoshi, Uholanzi iifidie Afrika kwa utumwa

    Dec 24, 2022 02:35

    Wataalamu, wanaharakati na wasomi wa Afrika wamesema haitoshi kwa nchi Magharibi kuomba radhi kwa kufanya biashara haramu ya utumwa na jinai nyinginezo katika enzi za ukoloni, na badala yake zinapaswa kuzifidia nchi zilizoathiriwa na jinai hizo.

  • Uholanzi: Tulihusika na utumwa, jinai ya wazi dhidi ya binadamu

    Uholanzi: Tulihusika na utumwa, jinai ya wazi dhidi ya binadamu

    Dec 20, 2022 03:36

    Waziri Mkuu wa Uholanzi, ameomba radhi kwa niaba ya serikali ya nchi hiyo kutokana na taifa hilo kuhusika na biashara haramu ya utumwa huko nyuma.

  • Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20

    Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20

    Dec 19, 2022 23:10

    Japan imetangaza kuwa inaunga mkono pendekezo la kupewa uanachama Umoja wa Afrika (AU) katika kundi la G20.

  • China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki

    China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki

    Dec 13, 2022 03:29

    Balozi wa China nchini Marekani amepinga madai ya Washington kuwa nchi za Afrika zimenasa kwenye mtego wa Beijing kutokana na madeni.

  • Biashara baina ya Iran na Afrika yaongezeka kwa asilimia karibu 40

    Biashara baina ya Iran na Afrika yaongezeka kwa asilimia karibu 40

    Dec 10, 2022 04:42

    Naibu afisa wa Klabu ya Wafanyabiashara wa Iran-Afrika amesema kuwa biashara kati ya Iran na Afrika imestawi kwa asilimia 40.

  • Zambia: Magendo ya binadamu yanatishia uhuru wa kusafiri Afrika

    Zambia: Magendo ya binadamu yanatishia uhuru wa kusafiri Afrika

    Dec 08, 2022 07:48

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema magendo ya binadamu linasalia kuwa tishio kuu la uhuru wa kutembea na kusafiri kwa watu wa nchi za Afrika.

  • Guterres: Dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake lakini haiisaidii Afrika kukabili changamoto zake

    Guterres: Dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake lakini haiisaidii Afrika kukabili changamoto zake

    Dec 02, 2022 04:24

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema suala la kusikitisha ni kuwa, licha ya kwamba dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake, lakini bado bara la Afrika halijaweza kuweka tegemeo lake kwa dunia katika kukabili changamoto zinazolikabili.

  • Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7

    Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7

    Dec 01, 2022 23:13

    Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita.

  • Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika

    Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika

    Nov 22, 2022 22:59

    Katika hali ambayo jinai za Ufaransa katika mataifa mbalimbali barani Afrika zinaendelea kushuhudiwa; Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusiana na satwa na upenyaji wa madola makubwa ya dunia barani Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS