-
Wataalamu: Kuomba radhi hakutoshi, Uholanzi iifidie Afrika kwa utumwa
Dec 24, 2022 02:35Wataalamu, wanaharakati na wasomi wa Afrika wamesema haitoshi kwa nchi Magharibi kuomba radhi kwa kufanya biashara haramu ya utumwa na jinai nyinginezo katika enzi za ukoloni, na badala yake zinapaswa kuzifidia nchi zilizoathiriwa na jinai hizo.
-
Uholanzi: Tulihusika na utumwa, jinai ya wazi dhidi ya binadamu
Dec 20, 2022 03:36Waziri Mkuu wa Uholanzi, ameomba radhi kwa niaba ya serikali ya nchi hiyo kutokana na taifa hilo kuhusika na biashara haramu ya utumwa huko nyuma.
-
Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20
Dec 19, 2022 23:10Japan imetangaza kuwa inaunga mkono pendekezo la kupewa uanachama Umoja wa Afrika (AU) katika kundi la G20.
-
China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki
Dec 13, 2022 03:29Balozi wa China nchini Marekani amepinga madai ya Washington kuwa nchi za Afrika zimenasa kwenye mtego wa Beijing kutokana na madeni.
-
Biashara baina ya Iran na Afrika yaongezeka kwa asilimia karibu 40
Dec 10, 2022 04:42Naibu afisa wa Klabu ya Wafanyabiashara wa Iran-Afrika amesema kuwa biashara kati ya Iran na Afrika imestawi kwa asilimia 40.
-
Zambia: Magendo ya binadamu yanatishia uhuru wa kusafiri Afrika
Dec 08, 2022 07:48Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema magendo ya binadamu linasalia kuwa tishio kuu la uhuru wa kutembea na kusafiri kwa watu wa nchi za Afrika.
-
Guterres: Dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake lakini haiisaidii Afrika kukabili changamoto zake
Dec 02, 2022 04:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema suala la kusikitisha ni kuwa, licha ya kwamba dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake, lakini bado bara la Afrika halijaweza kuweka tegemeo lake kwa dunia katika kukabili changamoto zinazolikabili.
-
Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7
Dec 01, 2022 23:13Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita.
-
Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika
Nov 22, 2022 22:59Katika hali ambayo jinai za Ufaransa katika mataifa mbalimbali barani Afrika zinaendelea kushuhudiwa; Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusiana na satwa na upenyaji wa madola makubwa ya dunia barani Afrika.
-
Nchi za Afrika zakutana Zanzibar kujadili maji safi na taka
Nov 15, 2022 04:21Nchi 42 za Afrika zinakutana Zanzibar nchini Tanzania kuanzia leo kujadili na kubadilishana uzoefu kuhusu udhibiti wa sekta ya maji safi na taka Afrika.