-
Ripoti: Zaidi ya watu milioni 37 wanataabika na njaa Pembe ya Afrika
Sep 24, 2022 23:13Inaelezwa kuwa, zaidi ya watu milioni 37 katika eneo la Pembe ya Afrika wanataabika na baa la njaa ambayo imechangiwa na ukame mbaya sana, ambao umeua takriban wanyama milioni 9.
-
John Kerry wa Marekani akosolewa kwa kupuuza mabadiliko ya tabianchi Afrika
Sep 19, 2022 06:29Wanaharakati wa hali ya hewa safi kutoka nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara, wamemkosoa vikali mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya tabianchi John Kerry kwa kutoa ahadi za uongo kuhusu kusaidiwa bara la Afrika kukabiliana na athari mbaya za uchafuzi wa hewa.
-
Afrika CDC: Janga la Corona bado ni tishio kwa bara la Afrika
Sep 15, 2022 23:30Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Africa CDC) amesema ugonjwa wa COVID-19 bado ni tishio kwa nchi za Afrika, kwa kuzingatia idadi ndogo ya watu waliopiga chanjo za kukabiliana na maradhi hayo barani humo.
-
Viongozi wa nchi za Afrika wazitaka nchi tajiri kutekeleza ahadi zao
Sep 10, 2022 02:24Wawakilishi wa nchi 24 za Afrika wamezitaka nchi zilizoendelea kutekeleza ahadi zao za kutoa msaada wa kifedha kwa bara la Afrika ilikukabiliana na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria
Aug 28, 2022 08:32Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.
-
Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Aug 26, 2022 23:29Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma.
-
Kuongezeka hujuma za kigaidi barani Afrika
Aug 24, 2022 23:12Kuenea kwa hujuma za kigaidi katika kanda tofauti za bara Afrika, hasa kuongezeka kwa mashambulizi yanayotekelezwa na makundi ya Al-Shabaab huko Somalia na Boko Haram nchini Nigeria, kumepelekea kuibuka wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama barani Afrika na duniani kote.
-
Nchi za Afrika zapasisha stratejia ya kupambana na magonjwa sugu
Aug 24, 2022 06:18Mawaziri wa Afya wa nchi za Afrika wameunga mkono stratejia mpya inayonuia kupiga jeki upatikanaji wa dawa na matibabu ya magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza barani humo.
-
WFP: Njaa inatishia maisha ya watu milioni 22 barani Afrika
Aug 21, 2022 02:28Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limessema kuwa hivi sasa watu milioni 22 barani Afrika wako kwenye hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa.
-
Juhudi za Marekani za kueneza ushawishi wake barani Afrika
Aug 11, 2022 21:59Akiwa katika safari yake ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika, Anthony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amezungumza na kushauriana na viongozi wa nchi alizozitembelea kuhusu masuala ya usalama, mgogoro wa chakula na jinsi ya kuzishirikisha nchi za Kiafrika katika vita vya Ukraine.