Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Matukio ya Spoti, Nov 12

    Matukio ya Spoti, Nov 12

    Nov 12, 2018 03:55

    Ufuatao ni ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, likiwemo Debi la Machester

  • Nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika kushirikiana mipaka

    Nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika kushirikiana mipaka

    Nov 07, 2018 13:24

    Nchi nane za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika zimeazimia kuanzisha shirika la kiufundi la ushirikiano mipakani litakalowezesha utekelezaji wa masuala 22 kwa lengo la kuboresha ushirika na kuimarisha utendaji wa operesheni za mipakani.

  • Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti

    Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti

    Nov 06, 2018 03:28

    Bunge la Afrika limekamilisha vikao vyake vya wiki mbili mjini Kigali Rwanda kwa kuanzisha tunzo maalumu ya uongozi bora barani Afrika kwa hisani ya hayati Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi...

  • Guterres alaani kuuawa askari wa Umoja wa Mataifa nchini Mali

    Guterres alaani kuuawa askari wa Umoja wa Mataifa nchini Mali

    Oct 28, 2018 12:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji dhidi ya askari wa kusimamia amani wa umoja huo katika nchi ya magharibi mwa Afrika ya Mali.

  • Uchunguzi: Mlipuko wa Ebola magharibi mwa Afrika umesababisha hasara ya dola bilioni 53

    Uchunguzi: Mlipuko wa Ebola magharibi mwa Afrika umesababisha hasara ya dola bilioni 53

    Oct 24, 2018 23:04

    Virusi vya Ebola vilivyozikumba nchi za magharibi mwa Afrika hususan Sierra Leone, Guinea and Liberia mwaka 2014 vilisababisha hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni 53.

  • Kuanza kazi bunge la tano la Afrika; matatizo na malengo yaliyopo mbele yake

    Kuanza kazi bunge la tano la Afrika; matatizo na malengo yaliyopo mbele yake

    Oct 24, 2018 08:48

    Kikao cha kwanza cha kawaida cha bunge la tano la Umoja wa Afrika (AU) kimeanza katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya miundo ya kiutawala na kidemokrasia na vilevile kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi za bara hilo.

  • Kongamano la Mazungumzo ya Tamaduni za Iran na Afrika lafanyika A. Kusini

    Kongamano la Mazungumzo ya Tamaduni za Iran na Afrika lafanyika A. Kusini

    Oct 22, 2018 12:53

    Kongamano la Mazungumzo Baina ya Tamaduni za Iran na Afrika limefanyika leo Pretoria nchini Afrika Kusini likiwashirikisha wanafikra wa Kiafrika.

  • Paul Biya atangazwa mshindi wa urais nchini Cameroon

    Paul Biya atangazwa mshindi wa urais nchini Cameroon

    Oct 22, 2018 12:21

    Pau Biya, kiongozi wa zamani zaidi barani Afrika ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba, kwa kupata asilimia 71 ya kura. Hayo yametangazwa na Baraza la Katiba la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Ulimwengu wa Spoti, Okt 22

    Ulimwengu wa Spoti, Okt 22

    Oct 22, 2018 03:38

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuangazie baadhi ya matukio ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa……

  • Wacomoro waandamana kupinga jaribio la Rais wa nchi hiyo la kurefusha utawala wake

    Wacomoro waandamana kupinga jaribio la Rais wa nchi hiyo la kurefusha utawala wake

    Oct 16, 2018 03:19

    Wananchi wa Comoro jana walifanya maandamano na kufunga barabara za mji wa Anjouan wakipinga jitihada zinazofanywa na Rais Azali Assoumani wa nchi hiyo za kutaka kurefusha kipindi cha uongozi wake na kukomesha mfumo wa kuongoza kwa zamu baina ya visiwa vitatu vikuu vinavyounda Jamhuri ya watu wa Comoro.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS