-
Juhudi za Ulaya kuzidisha uingiliaji wa kijeshi barani Afrika
Jan 19, 2018 09:51Ikiwa ni katika mkondo wa kudumisha uingiliaji wa nchi za Magharibi barani Afrika, serikali za Italia na Uingereza zimeazimia kuimarisha uwepo wao wa kijeshi katika baadhi ya nchi za bara hilo.
-
Ushiriki wa Ulaya kwa ajili ya kuwarejesha makwao wahajiri wa Kiafrika
Jan 16, 2018 23:09Kuendelea hali mbaya na mazingira mabovu waliyonayo wahajiri huko nchini Libya, kumeufanya Umoja wa Ulaya utangaze azma yake ya kushirikiana na Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuwarejesha katika nchi zao wahajiri hususan wale walioko katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 15
Jan 15, 2018 02:46Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti, yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.
-
Larijani: Iran daima ina hamu ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika
Jan 14, 2018 04:26Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.
-
Matusi ya Trump dhidi ya Waafrika yazidi kulaaniwa
Jan 13, 2018 04:19Mabalozi wa nchi 54 za Afrika katika Umoja wa Mataifa wamelaani vikali matusi na kejeli za rais wa Marekani dhidi ya Waafrika.
-
Boroujerdi: Afghanistan na Afrika walengwa wa baadaye wa Daesh
Jan 12, 2018 10:57Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa magaidi wa kundi la Daesh sasa wameelekea nchini Afghanistan na watajipenyeza pia katika nchi za Kafrika kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
Dunia yaghadhabishwa na maneno machafu ya Trump dhidi ya wahajiri
Jan 12, 2018 10:32Asasi za kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimelaani matamshi machafu yaliyojaa chuki, kejeli na dharau yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipokuwa akiashiria wahajiri kutoka nchi kadhaa duniani hususan za Afrika wanaoenda kutafuta hifadhi Marekani.
-
Kuongezeka majeshi ya nchi kubwa barani Afrika
Jan 12, 2018 01:20Hatari ya kueneza zaidi ugaidi barani Afrika ndiyo kisingizio kinachotumiwa sasa na nchi kubwa hususan za Magharibi kwa ajili ya kuhalalisha kuwepo kwa majeshi ya nchi hizo barani Afrika na hilo linaonekana zaidi katika matamshi ya Rais Emanuel Macron wa Ufaransa aliyeiomba China kushirikiana na nchi za kundi la Sahil huko Afrika.
-
UN yalaani hatua ya Israel ya kuwafukuza wahajiri wa Kiafrika
Jan 10, 2018 01:06Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kufuta mpango ulioanza kuutekeleza hivi karibuni wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.
-
Israel yawatimua wahajiri 38,000 wa Kiafrika
Jan 04, 2018 10:16Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kutekeleza mpango wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.