Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Irada ya Iran ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Irada ya Iran ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Dec 31, 2017 04:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitza azma yake ya kuimarisha uhusiano na nchi za bara la Afrika.

  • Uganda yaalika mashirika zaidi ya Iran kuwekeza nchini humo

    Uganda yaalika mashirika zaidi ya Iran kuwekeza nchini humo

    Dec 16, 2017 12:00

    Spika wa Bunge la Uganda ametoa wito kwa mashirika ya Iran yaimarishe zaidi uwekezaji nchini humo.

  • Viongozi wa nchi za Afrika wana wasiwasi wa kurejea barani humo Madaesh wanaotoka Syria na Iraq

    Viongozi wa nchi za Afrika wana wasiwasi wa kurejea barani humo Madaesh wanaotoka Syria na Iraq

    Dec 14, 2017 12:13

    Viongozi wa nchi za Afrika wamesema wana wasiwasi wa kurejea barani humo maelfu ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) kutoka nchi za Iraq na Syria.

  • Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afungua mashindano ya baskeli ya Afrika Mashariki na Kati

    Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afungua mashindano ya baskeli ya Afrika Mashariki na Kati

    Dec 12, 2017 04:49

    Jumuiya ya Afrika Mashariki imeandaa mashindano ya baskeli nchini Burundi yaliyitishwa kamaishara ya amani nchini humo. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ni mshiriki wa mashindano hayo ndiye aliyeyazindua. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi:

  • Kwa siku watu 15000 wanalazimika kuwa wakimbizi wa ndani barani Afrika

    Kwa siku watu 15000 wanalazimika kuwa wakimbizi wa ndani barani Afrika

    Dec 06, 2017 04:27

    Vita, ukatili na unyanyasaji unaoendelea kushuhudiwa katika nchi nyingi za Afrika vimesababisha wastani wa watu 15 elfu kuwa wakimbizi wa ndani kila siku, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2017.

  • AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya

    AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya

    Dec 04, 2017 11:40

    Umoja wa Afrika AU umeitisha kikao cha kuchunguza hatua za kivitendo za kuwakomboa wahamiaji wa Kiafrika katika jela za Libya na kuwarejesha katika nchi zao.

  • Ulimwengu wa Spoti, Dis 4

    Ulimwengu wa Spoti, Dis 4

    Dec 04, 2017 02:50

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tutupie jicho matukio muhimu kadhaa yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, katika nyuga za spoti, ndani na nje ya nchi. Karibu......

  • Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast

    Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast

    Nov 30, 2017 08:10

    Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.

  • Njama za utawala haramu wa Israel za kujipenyeza barani Afrika

    Njama za utawala haramu wa Israel za kujipenyeza barani Afrika

    Nov 29, 2017 13:13

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ambaye serikali yake inafanya njama za kujipenyeza barani Afrika amesema kuwa, ana matumaini utawala huo ghasibu utafungua ubalozi mpya katika moja ya nchi za barani hilo.

  • Mbinu za Netanyahu za kutaka kupanua uhusiano wa Israel na nchi za Afrika

    Mbinu za Netanyahu za kutaka kupanua uhusiano wa Israel na nchi za Afrika

    Nov 29, 2017 11:00

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amefanya safari yake ya tatu barani Afrika katika mkakati wake wa kutaka kupanua uhusiano wa utawala huo haramu na nchi za bara hilo kwa kuitembelea Kenya kwa kisingizio cha kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS