Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Macron: Ufaransa haitokuwa ikiwaamuru tena Waafrika nini wafanye

    Macron: Ufaransa haitokuwa ikiwaamuru tena Waafrika nini wafanye

    Nov 28, 2017 13:14

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema yeye anatokana na kizazi cha viongozi ambao hawatokuwa wakiwaambia Waafrika nini wafanye na badala yake ataelekeza juhudi zake katika kuimarisha uhusiano wa Afrika na Ulaya.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa barani Afrika na uhusiano wa pande hizo mbili

    Safari ya Rais wa Ufaransa barani Afrika na uhusiano wa pande hizo mbili

    Nov 28, 2017 04:03

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika kwa shabaha ya kuzidisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi baina ya nchi yake na nchi za bara hilo.

  • Iran: Afrika isigeuzwe kimbilio la magenge ya kigaidi na ukufurishaji

    Iran: Afrika isigeuzwe kimbilio la magenge ya kigaidi na ukufurishaji

    Nov 24, 2017 12:25

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kufanyika jitihada za kuzuia bara la Afrika kugeuka kuwa kimbilio na kitovu cha magenge ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu ada, kufuatia kusambaratishwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq.

  • Waislamu Mombasa Kenya walalamikia mavazi ya nusu uchi + Sauti

    Waislamu Mombasa Kenya walalamikia mavazi ya nusu uchi + Sauti

    Nov 24, 2017 02:41

    Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya vijana kuvaa mavazi yasiyo ya heshima na kutoa mwito kwa serikali ya Kenya kuiga mfano wa Uganda ambayo inashinikiza mavazi ya heshima hasa katika maeneo ya umma. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi

  • Rwanda kupokea maelfu ya wahamiaji waliokwama Libya + Sauti

    Rwanda kupokea maelfu ya wahamiaji waliokwama Libya + Sauti

    Nov 24, 2017 02:36

    Serikali ya Rwanda imesema kuwa iko tayari kupokea wahamiaji zaidi ya 30,000 wa Kiafrika waliokwama nchini Libya na ambao wanapigwa mnada sokoni na kuuzwa kama bidhaa.

  • Interpol yawatia nguvuni watu 40 kwa kufanya magendo ya binadamu Libya

    Interpol yawatia nguvuni watu 40 kwa kufanya magendo ya binadamu Libya

    Nov 24, 2017 01:03

    Watu wasiopungua 40 wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kufanya magendo ya binadamu katika eneo la magharibi mwa Afrika baada ya kusambaa mkanda wa video unaoonesha wakimbizi wa Kiafrika wakipigwa mnada na kuuzwa kama bidhaa nchini Libya.

  • Wakuu wa Ulinzi Afrika Mashariki wakutana Uganda

    Wakuu wa Ulinzi Afrika Mashariki wakutana Uganda

    Nov 20, 2017 23:10

    Wataalamu wa masuala ya ulinzi kutoka nchi za Afrika Mashariki wanakutana nchini Uganda kujadili njia za kuimarisha amani na usalama kieneo.

  • Hali mbaya ya wahajiri wa Afrika nchini Libya

    Hali mbaya ya wahajiri wa Afrika nchini Libya

    Nov 20, 2017 07:53

    Sambamba na kuendelea hali mbaya ya wakimbizi na wahajiri wa Kiafrika nchini Libya, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutuhumu Umoja wa Ulaya kwamba, unapuuza hali mbaya wanayokabiliwa nayo wahajiri wa Kiafrika.

  • AU yasema Libya imegeuzwa kuwa kitovu cha soko la utumwa duniani

    AU yasema Libya imegeuzwa kuwa kitovu cha soko la utumwa duniani

    Nov 18, 2017 03:59

    Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU ametoa mwito kwa vyombo vya dola nchini Libya kuanzisha uchunguzi juu ya ripoti zinazosema kuwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ni kitovu cha biashara ya utumwa.

  • Sisitizo la Senegal juu ya kudhaminiwa usalama katika nchi za bara la Afrika

    Sisitizo la Senegal juu ya kudhaminiwa usalama katika nchi za bara la Afrika

    Nov 14, 2017 08:33

    Katika kikao cha nne cha Kongamano la Amani na Usalama wa Afrika Rais Macky Sall wa Senegal amesisitizia ulazima wa kutolewa misaada kwa ajili ya kudhaminiwa usalama wa nchi za bara hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS