Waislamu Mombasa Kenya walalamikia mavazi ya nusu uchi + Sauti
Nov 24, 2017 02:41 UTC
Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya vijana kuvaa mavazi yasiyo ya heshima na kutoa mwito kwa serikali ya Kenya kuiga mfano wa Uganda ambayo inashinikiza mavazi ya heshima hasa katika maeneo ya umma. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi
Tags