-
Afrika Kusini yachunguza ukandamizaji wa askari wake DRC
Feb 13, 2018 04:48Jeshi la Afrika Kusini limeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na askari wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu
Feb 13, 2018 04:35Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini (rand) imeporomoka baada ya chama tawala nchini humo ANC kutishia kuwa kitamuondoa ofisini kwa nguvu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini apewa masaa 48 ajiuzulu
Feb 12, 2018 23:40Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amepewa masaa 48 awe ameachia ngazi, baada ya kufanyika mkutano wa dharura wa chama tawala ANC.
-
Ramaphosa aahidi kutomvumilia fisadi yoyote Afrika Kusini
Feb 12, 2018 04:13Mwenyekiti Taifa wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini ameahidi kupambana vikali na mafisadi na kutomvumilia mbadhirifu yeyote wa mali ya umma.
-
Mazungumzo kuhusu hatima ya Rais Zuma yanaendelea nchini Afrika Kusini
Feb 11, 2018 11:37Mazungumzo kuhusu hatima ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini yanaendelea huku duru za karibu na mazungumzo hayo zikisema kwamba, kuna masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika mazungumzo hayo lakini ajenda kuu ni kuhusu suala la kujiuzulu Zuma.
-
Mwenyekiti wa ANC akanusha uvumi wa kupatiwa Rais Zuma kinga ya kutoshtakiwa
Feb 10, 2018 04:21Mwenyekiti wa Chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC amekanusha taarifa za kupatiwa kinga ya kutoshtakiwa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
ANC: Hatima ya Jacob Zuma itajulikana siku chache zijazo
Feb 08, 2018 03:45Mwenyekiti Taifa wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini amesema kuwa, hatima ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo itajulikana siku chache zijazo.
-
Utayari wa kujiuzulu kwa masharti Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
Feb 07, 2018 11:48Duru za habari za Afrika Kusini zimeripoti kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ametangaza utayari wa kuachia ngazi kwa masharti.
-
Hotuba ya Rais Zuma katika Bunge la Afrika Kusini yaakhirishwa
Feb 06, 2018 23:05Spika wa Bunge la Afrika Kusini Baleka Mbete amesema hotuba ya kila mwaka ya rais kuhusu hali ya nchi, imeakhirishwa kutokana na mashinikizo anayokabiliana nayo Rais Jacob Zuma.
-
Afisa wa ngazi ya juu wa ANC: Zuma anapasa kujiuzulu
Feb 03, 2018 23:58Afisa wa ngazi ya juu katika chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) amesema kuwa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anapasa kujiuzulu na hivyo kuzidisha mashinikizo kwa Zuma ambaye anaonekana kudhoofika tangu Cyril Ramaphosa achaguliwe kuwa Mwenyekiti wa chama tawala ANC mwezi Disemba mwaka jana.