Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Kiongozi wa chama cha ANC: Afrika Kusini imeingia katika zama mpya

    Kiongozi wa chama cha ANC: Afrika Kusini imeingia katika zama mpya

    Jan 26, 2018 13:19

    Kiongozi mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini cha Kongresi ya Taifa (ANC ) amesema kuwa nchi hiyo imeingia katika zama mpya chini ya uongozi wake; hiyo ikiwa ni ishara mpya kwamba siku za Jacob Zuma kukalia kiti cha rais zinahesabika.

  • Chama tawala Afrika Kusini kumuuzulu Rais Zuma kwa nguvu

    Chama tawala Afrika Kusini kumuuzulu Rais Zuma kwa nguvu

    Jan 21, 2018 04:13

    Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimetishia kumuuzulu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo iwapo hatakubali kuachia ngazi kwa khiari.

  • 200 wauawa, kujeruhiwa katika ajali ya treni Afrika Kusini

    200 wauawa, kujeruhiwa katika ajali ya treni Afrika Kusini

    Jan 04, 2018 10:46

    Kwa akali watu 14 wamethibitishwa kupoteza maisha huku wengine zaidi ya 180 wakijeruhiwa katika ajali mbaya ya garimoshi iliyotokea mapema leo kati ya eneo la Kroonstad na Hennenman, katika mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini

  • Waislamu Afrika Kusini wawaandalia Wakristo karamu kwa mnasaba wa Krismasi

    Waislamu Afrika Kusini wawaandalia Wakristo karamu kwa mnasaba wa Krismasi

    Dec 23, 2017 23:56

    Waislamu na Wakristo wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini wamefanya kikao cha pamoja kwa mnasaba wa kuadhimisha na kukumbuka tukio la kuzaliwa Nabii Issa Masiih (as).

  • Hamas yakaribisha takwa la ANC la kupunguzwa uhusiano wa kidiplomasia wa Afrika Kusini na Israel

    Hamas yakaribisha takwa la ANC la kupunguzwa uhusiano wa kidiplomasia wa Afrika Kusini na Israel

    Dec 22, 2017 12:13

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imekaribisha kwa mikono miwili takwa la chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kwa serikali ya nchi hiyo la kupunguzwa kiwango cha ushirikiano wa kidiplomasia wa nchi hiyo na utawala ghasibu wa Israel.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa atembelea Libya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa atembelea Libya

    Dec 22, 2017 00:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Yves Le Drian ameyataka makundi hasimu nchini Libya kuheshimu juhudi za upatanishi za Umoja wa Mataifa na kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2018

  • Afrika Kusini kuteremsha hadhi ya ubalozi wake huko Israel

    Afrika Kusini kuteremsha hadhi ya ubalozi wake huko Israel

    Dec 21, 2017 12:48

    Afrika Kusini imesema kuwa itateremsha hadhi ya mahusiano yake ya kidiplomasia huko Israel ikiwa ni radiamali kwa uamuzi wa Marekani wa kuutambua mji wa Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel.

  • Mlipuko wa 'bacteria' waua makumi ya watu nchini Afrika Kusini

    Mlipuko wa 'bacteria' waua makumi ya watu nchini Afrika Kusini

    Dec 06, 2017 04:31

    Kwa akali watu 36 wamepoteza maisha kutoka na mlipuko wa vijidudumaradhi (bacteria) vinavyoathiri chakula nchini Afrika Kusini.

  • Afrika Kusini na Morocco kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia

    Afrika Kusini na Morocco kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia

    Dec 03, 2017 11:03

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo itafufua uhusiano wa kidiplomasia na Morocco, baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja tangu nchi hiyo ya Kiarabu imuondoe balozi wake mjini Pretoria.

  • Mnangagwa arejea Zimbabwe, kuapishwa Ijumaa kumrithi Mugabe

    Mnangagwa arejea Zimbabwe, kuapishwa Ijumaa kumrithi Mugabe

    Nov 22, 2017 13:02

    Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni na Rais Robert Mugabe aliyetangaza kujiuzulu hapo jana amerejea nchini akitokea Afrika Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS