-
Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram
Mar 09, 2016 23:12Jeshi la Afrika Kusini limekanusha habari kuwa litatatuma askari nchini Nigeria kupambana na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.
-
Rais wa Afrika Kusini anusurika kupigiwa na Bunge kura ya kutokuwa na imani na utendaji wake wa kiuchumi
Mar 01, 2016 23:19Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kwa mara ya pili katika kipindi cha mwaka mmoja kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye, baada ya hoja iliyowasilishwa bungeni kutoungwa mkono na wabunge walio wengi.
-
Wanafunzi wateketeza kwa moto chuo kikuu Afrika Kusini
Feb 26, 2016 12:47Wanafunzi waliogoma nchini Afrika Kusini wameteketeza kwa moto majengo kadhaa ya chuo kikuu.
-
Amnesty International yaikosoa Afrika Kusini kwa kushindwa kumkamata al-Bashir
Feb 25, 2016 04:32Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa kushindwa kumkamata Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir alipoitembelea nchi hiyo mwezi Julai mwaka jana.
-
Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi
Feb 22, 2016 04:22Mtandao mmoja wa habari wa Afrika Kusini umesema kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anatarajiwa kutembelea Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Februari.
-
Afrika Kusini yaripoti kesi ya kwanza ya Zika
Feb 20, 2016 23:18Afrika Kusini imethibitisha kesi ya kwanza ya kirusi cha Zika ambacho kimeingia nchini humo kupitia raia wa Colombia.
-
Afrika Kusini yaripoti kesi ya kwanza ya Zika
Feb 20, 2016 10:00Afrika Kusini imethibitisha kesi ya kwanza ya kirusi cha Zika ambacho kimeingia nchini humo kupitia raia wa Colombia.
-
Balozi Mzayuni asababisha kufutwa mkutano Afrika Kusini
Feb 17, 2016 22:40Mkutano uliokuwa ufanyike mjini Johannesburg, kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa maji nchini Afrika Kusini umefutwa kutokana na kulalamikiwa vikali kualikwa balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.