-
Mapambano ya wasimamia amani wa UN na wanamgambo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 28, 2017 13:46Mapigano na mashambulio ya makundi ya wabeba silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati yangali yanaendelea kushuhudiwa.
-
Kiongozi wa kaskazini mwa CAR aitaka serikali kudhamini usalama wa Bocaranga
Feb 08, 2017 07:28Mwakilishi wa mji wa Bocaranga, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ameitaka serikali ya nchi hiyo kudhamini usalama wa eneo hilo la mpakani kutokana na hujuma za makundi ya wabeba silaha.
-
Zaidi ya watu 15 wauawa katika mapigano ya makundi ya wabeba silaha CAR
Feb 04, 2017 04:40Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza kuwa, kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la makundi ya wabeba silaha katika mji wa Bukaranga uliopo kaskazini mwa nchi hiyo.
-
WFP: Huenda tukasita kupeleka misaada Jamhuri ya Afrika ya Kati
Dec 29, 2016 03:52Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa kama litaendelea kukabiliwa na matatizo litalazimika kusimamisha upelekaji misaada kwa maelfu ya wakimbizi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Kikao cha Brussels cha msaada wa kifedha kwa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Nov 18, 2016 14:23Rais Faustin Archang Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kufungamana na kuwa karimu zaidi katika kuboresha hali ya kiuchumi ya nchi yake.
-
Jamhuri ya Afrika ya Kati yaomba msaada kuboresha hali ya nchi
Nov 17, 2016 15:53Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametoa wito wa kuwepo mshikamamo na ukarimu wa jamii ya kimataifa kwa nchi yake ili kusaidia kuboresha hali ya mambo nchini humo.
-
Watu 11 wauawa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 16, 2016 07:55Watu 11 wameuawa katika shambulio la watu wenye silaha kwenye kambi ya wakimbizi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Mamluki wa kundi lenye silaha watiwa mbaroni CAR
Aug 15, 2016 03:43Askari jeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliopo Jamhuri ya Afrika ya Kati wametangaza kutiwa mbaroni mamluki kadhaa wa kundi moja lenye silaha nchini humo.
-
Jeshi la Uganda laamua kuondoa vikosi vyake CAR
Jun 29, 2016 07:19Jeshi la Uganda limechukua uamuzi wa kuondoa wanajeshi wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ili kusaidia jitihada za kuwaangamiza waasi wa Uganda.
-
Taasisi za kimataifa zakaribisha kuidhinishwa matokeo ya uchaguzi wa CAR
Mar 05, 2016 15:13Taasisi za kimataifa zimekaribisha hatua ya kuidhinishwa Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.