Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ajali

  • Watu 30 waaga dunia katika ajali ya barabarani Cameroon

    Watu 30 waaga dunia katika ajali ya barabarani Cameroon

    Jul 07, 2018 07:15

    Watu wasiopungua 30 wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea katika barabara inayouunganisha mji mkuu wa Cameroon, Yaounde na mji wa Bafoussam, makao makuu ya eneo la Magharibi.

  • 9 waaga dunia katika ajali iliyotokea katika barabara ya Nairobi-Mombasa, Kenya

    9 waaga dunia katika ajali iliyotokea katika barabara ya Nairobi-Mombasa, Kenya

    Jul 04, 2018 07:40

    Watu tisa wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea mapema leo katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa nchini Kenya.

  • 29 wakufa maji, 41 watoweka baada ya feri yao kuzama Indonesia

    29 wakufa maji, 41 watoweka baada ya feri yao kuzama Indonesia

    Jul 04, 2018 07:30

    Kwa akali watu 29 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya feri kuzama karibu na kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia, huku hatima ya makumi ya wengi ikisalia kitendawili.

  • Watu 7 wafa maji katika ajali ya boti kusini mwa Somalia

    Watu 7 wafa maji katika ajali ya boti kusini mwa Somalia

    Jun 13, 2018 02:41

    Watu saba wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika Mto Shabelle, kusini mwa Somalia.

  • Kenya yaomboleza ajali ya ndege ndogo iliyoua watu 10

    Kenya yaomboleza ajali ya ndege ndogo iliyoua watu 10

    Jun 07, 2018 15:35

    Rais Uhuru Kenyatta analiongoza taifa la Kenya katika kuomboleza vifo vya watu 10 waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la milima ya Aberdares mjini Kinangop kaunti ya Nyandarua, kaskazini mwa mji mkuu Nairobi.

  • Watu 49 waghariki katika ajali ya boti mtoni kaskazini mwa Kongo DR

    Watu 49 waghariki katika ajali ya boti mtoni kaskazini mwa Kongo DR

    May 25, 2018 06:56

    Watu 49 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya boti kuzama mtoni kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Iran

    Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Iran

    Feb 23, 2018 07:49

    Rais mpya wa Afrika Kusini ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kuanguka ndege ya abiria Jumapili asubuhi hapa Iran na kuua watu wote 66 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.

  • Zaidi ya 40 wauawa katika mkasa wa moto hospitalini Korea Kusini

    Zaidi ya 40 wauawa katika mkasa wa moto hospitalini Korea Kusini

    Jan 26, 2018 07:23

    Kwa akali watu 41 wamepoteza maisha baada ya moto mkali kuteketeza sehemu ya jengo la hospitali moja nchini Korea Kusini mapema leo.

  • Basi lateketea na kuua abiria 52 nchini Kazakhstan

    Basi lateketea na kuua abiria 52 nchini Kazakhstan

    Jan 18, 2018 14:33

    Watu wasiopungua 52 wamepoteza maisha baada ya basi la abiria kuteketea moto kaskazini mwa Kazakhstan.

  • Watu 32 watoweka katika ajali ya meli mashariki mwa pwani ya China

    Watu 32 watoweka katika ajali ya meli mashariki mwa pwani ya China

    Jan 07, 2018 08:00

    Raia 30 wa Iran na wawili wa Bangladesh wameripotiwa kutoweka baada ya meli ya mafuta na nyingine ya mizigo kugongana mashariki mwa pwani ya China.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS