-
Miili ya watu 11 waliofariki dunia katika ajali ya ndege Tanzania yapatikana
Nov 16, 2017 16:05Miili ya abiria 10 na rubani mmoja waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea jana nchini Tanzania imepatikana.
-
8 waaga dunia na kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka Kodivaa
Oct 15, 2017 07:54Raia wanne wa Moldova wamepoteza maisha huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya ndege ya mizigo iliyokodishwa na jeshi la Ufaransa kuanguka baharini, karibu na uwanja wa kimataifa wa ndege wa mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Watu 30 waaga dunia katika ajali mbaya ya barabarani nchini Nigeria
Sep 15, 2017 14:02Kwa akali watu 30 wamepoteza maisha kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo kusini magharibi mwa Nigeria.
-
34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Madagascar
Aug 02, 2017 08:06Kwa akali watu 34 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika kisiwa cha Madagascar.
-
Watu 26 waaga dunia baada ya mabasi 2 kugongana Nigeria
May 07, 2017 13:17Kwa akali watu 26 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani katika mji wa Lagos magharibi mwa Nigeria.
-
91 wahofiwa kuaga dunia baada ndege ya kijeshi ya Russia kuanguka baharini
Dec 25, 2016 07:56Makumi ya watu wanahofiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya kijeshi ya Russia kuanguka katika Bahari Nyeusi, muda mfupi baada ya kutoweka kwenye rada.
-
Watoto 11 wafariki dunia katika ajali ya basi kaskazini mwa Nigeria
Dec 22, 2016 03:05Watoto 11 wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi walipokuwa wakishiriki zefe (matembezi) ya Maulid (kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume SAW) kaskazini mwa Nigeria.
-
Ndege yaanguka ikiwa na timu ya soka ya Brazil, 81 wahofiwa kuaga dunia
Nov 29, 2016 07:25Ndege iliyokuwa imebeba watu 81, wakiwemo wachezaji wa timu moja ya mpira ya Brazil, imeanguka nchini Colombia.
-
Watu zaidi ya 90 waaga dunia katika ajali ya treni nchini India
Nov 20, 2016 08:05Makumi ya watu wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa katika ajali mbaya ya treni iliyotokea mapema leo kaskazini mwa India.