-
Rais wa Somalia aapa kupambana na magaidi wa al Shabab baada ya hujuma ya kigaidi
Oct 19, 2017 04:13Rais Mohammad Abdullahi Mohamed wa Somalia ameapa kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab kufatia hujuma mbaya zaidi ya kigaidi kuwahi kushuhudiwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu ambapo watu zaidi ya 300 waliuawa.
-
Kamanda wa zamani al-Shabaab alaani mashambulizi ya Mogadishu
Oct 17, 2017 23:20Aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo Mukhtar Robow amelaani vikali shambulizii la kigaidi lililoua watu zaidi ya 300 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu Jumamosi iliyopita.
-
Mauaji ya watu 276 katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Oct 15, 2017 23:05Mripuko wa lori lililotegwa bomu ndani yake uliua watu wasiopungua 276 mjini Mogadishu, Somalia siku ya Jumamosi jioni.
-
Uturuki yafungua kituo chake kikubwa cha kijeshi nchini Somalia
Oct 01, 2017 03:13Uturuki imefungua kituo chake kikubwa zaidi cha kijeshi barani Afrika ambacho kiko katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
15 wauawa katika hujuma ya al Shabab dhidi ya kituo cha kijeshi Somalia
Sep 29, 2017 10:26Magaidi wakufurishaji wa al-Shabab wameshambulia na kuteka kituo kimoja cha kijeshi karibu na mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambapo wanajeshi 15 Wasomali wameuawa katika tukio hilo.
-
Utawala mbovu, chanzo cha vijana kuwa na misimamo mikali Afrika
Sep 08, 2017 02:22Vijana wa Afrika wanajiunga na makundi yenye misimamo mikali kutokana na sababu kadhaa ikiwemo kupuuzwa, kunyimwa fursa pamoja na ukosefu wa utawala bora.
-
Kundi la al-Shabaab la Somalia ladai kuua makumi ya askari Kismayu
Sep 03, 2017 03:04Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwa limeua makumi ya askari wa Somalia karibu na mji wa bandari wa Kismayu mapema leo Jumapili.
-
Shambulio la bomu la al-Shabaab siku ya Iddi laua 12 Puntland, Somalia
Sep 02, 2017 03:05Watu 12 wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na genge la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Wanajeshi wa Marekani waua watoto 3 katika hujuma Somalia
Aug 26, 2017 03:21Raia wasiopungua 10, wakiwemo watoto watatu, wameuawa katika hujuma ya pamoja na Jeshi la Marekani na Jeshi la Somalia kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu 10 wauawa na wanamgambo wanaoungwa mkono na Marekani kusini mwa Somalia
Aug 25, 2017 23:25Serikali ya Somalia imetangaza habari ya kuuawa watu 10 ambao ni raia wa kawaida katika shambulizi la wabeba silaha kijiji cha Barire, jimbo la Lower Shebelle, kusini mwa nchi hiyo.