-
Al-Shabaab yawakata vichwa watu 3 kaunti ya Lamu, Kenya
Aug 18, 2017 03:40Kwa akali watu watatu wameuawa kwa kukatwa vichwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabab katika kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya.
-
Afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa al Shabab awataka wanamgambo wa kundi hilo wajiengue
Aug 15, 2017 23:32Kaimu Mkuu wa zamani wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al Shabab lenye makao yake huko Somalia amewataka wanamgambo wa kundi hilo wajiengue kundini kufuatia hatua ya kiongozi huyo kujiunga na serikali ya Mogadishu hivi karibuni.
-
Serikali ya Somalia yayaonya mashirika na taasisi za fedha zinazoisaidia al Shabab
Aug 14, 2017 02:45Serikali ya Somalia imayaonya mashirika na taasisi za mawasiliano na za kifedha zinazohusika na usafirishaji wa fedha kwa ajili ya kundi la kigaidi na kiwahabi la al Shabab nchini humo.
-
Kamanda wa zamani al-Shabaab ajiunga na serikali ya Somalia
Aug 13, 2017 23:06Aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji Mukhtar Robow Abu Mansur, amejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
KDF yashambulia ngome za al-Shabaab karibu na Afmadow, Somalia
Aug 10, 2017 10:15Ndege za Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF zimeshambulia ngome za kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Weelmarow karibu na wilaya ya Afmadow, eneo la Lower Juba, kusini mwa Somalia.
-
Magaidi wa al-Shabaab wateka na kudhibiti mji kusini mwa Somalia
Aug 05, 2017 03:38Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia limetangaza kuwa limeuteka na kuudhibiti mji wa Leego, ulioko kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Al-Shabaab washadidisha hujuma kabla ya uchaguzi, waua watu 4 Kenya
Aug 03, 2017 02:52Huku uchaguzi mkuu wa Agosti 8 ukizidi kujongea nchini Kenya, kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linaonekana kushadidisha mashambulizi yake dhidi ya raia na maafisa usalama wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Kiongozi wa mashambulizi ya ash-Shabab aangamizwa Somalia
Aug 01, 2017 08:47Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab anayehusika na suala la kupanga shambulizi ya kundi hilo ameangamizwa la jeshi la nchi hiyo.
-
Kuharibiwa kituo cha as-Shabaab kusini mwa Somalia
Jul 22, 2017 02:23Jeshi la Somalia katika operesheni ya pamoja na kikosi cha walinda amani cha Umoja wa Afrika AMISOM limefanikiwa kuharibu kituo kimoja kikubwa cha magaidi wa as-Shabaab kusini mwa nchi hiyo.
-
Wapiganaji 18 wa Al Shabab wauawa kaskazini mwa Somalia
Jul 10, 2017 01:53Wapiganaji wasiopungua 18 wa kundi la kigaidi la al Shabab wameuawa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Somalia katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.