-
Magaidi wachinja watu 9 Lamu, Kenya
Jul 08, 2017 12:14Watu wanaodhaniwa kuwa magaidi wa kundi la la Shabab wamewachinja kwa kuwakata vichwa watu 9 katika shambulizi lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika kijiji kimoja cha Kaunti ya Lamu huko pwani mwa Kenya.
-
Al Shabab waua Polisi 2 katika hujuma huko Lamu, Kenya
Jul 05, 2017 10:08Maafisa wawili wa polisi nchini Kenya wameuawa baada ya magaidi wanaoaminika kuwa wa kundi la Al Shabab kushambulia kituo cha polisi katika eneo la Pandanguo katika Kaunti ya Lamu.
-
Mgawanyiko waripotiwa katika safu za al Shabab, Somalia
Jul 02, 2017 01:43Ripoti zinasema kuwa, kumetokea hitilafu na mgawanyiko katika kundi la kigaidi la al Shabab la Somalia baada ya kusambaa habari kwamba, msemaji wa kundi hilo amejitenga na kwamba anaungwa mkono na jeshi la serikali ya Mogadishu.
-
Wanachama saba wa ash-Shabab watiwa kitanzi nchini Somalia
Jul 01, 2017 08:46Viongozi wa kijeshi katika eneo la Puntland, kaskazini mwa Somalia, wamewanyonga wanachama saba wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab.
-
Wanamgambo sita wa al-Shabab wauawa na jeshi la Somalia
Jun 30, 2017 09:41Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua wapiganaji sita wa kundi la kigaid na kitakfiri la al-Shabab na kujeruhiwa makumi ya wengine.
-
Watu watano wauawa aktika hujuma ya kigaidi Mandera, Kenya
Jun 23, 2017 09:54Watu watano wanaripotiwa kuuawa nchini Kenya katika mji wa El Wak kaunti ya Mandera eneo la kaskazini mashariki kufuatia hujuma ya kundi la kigaidi la al-Shabab.
-
Watu 15 wauawa katika hujuma ya al-Shabab mjini Mogadishu, Somalia
Jun 20, 2017 09:09Watu wasiopungua 15 wameuawa katika hujuma ya kigaidi huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia huku kundi la kigaidi la al-Shabab likitangaza kuhusika na shambulizi hilo.
-
Askari wa Somalia aliyemuua waziri ahukumiwa kifo
Jun 19, 2017 11:00Askari wa serikali ya Somalia amehukumiwa kifo kwa kumuua waziri wa serikali ya Mogadishu baada ya kudhania kuwa ni mmoja kati ya wanachama wa kundi ya kigaidi la al Shabab.
-
Magaidi wa Al Shabab waua watu 17 Mogadishu
Jun 15, 2017 02:44Magaidi wa kundi la Al Shabab nchini Somalia wamewaua watu 17 katika hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu.
-
Kamanda mwandamizi wa al-Shabaab ajisalimisha kwa serikali Somalia
Jun 01, 2017 09:52Kamanda mmoja mwandamizi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab amejisalimisha kwa jeshi la taifa la Somalia.