Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

al shabab

  • Waliovamia Msikiti Mwanza na kuua watu walikuwa na bendera za ISIS (Daesh)

    Waliovamia Msikiti Mwanza na kuua watu walikuwa na bendera za ISIS (Daesh)

    May 20, 2016 11:57

    Genge la watu waliouhujumu msikiti mmoja wa mjini Mwanza kaskazini mwa Tanzania Jumatano usiku na kutekeleza mauaji walikuwa na bendera za kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.

  • Wanamgambo wa ash Shabab wa Somalia kusamehewa lakini...

    Wanamgambo wa ash Shabab wa Somalia kusamehewa lakini...

    May 16, 2016 11:37

    Rais Hassan Sheikh Mohamoud wa Somalia amesema kuwa, yuko tayari kutoa msamaha kwa wanamgambo wa Somalia lakini kwa sharti waweke chini silaha na kuacha mashambulizi.

  • Kuongezeka opereseheni za jeshi la Somalia dhidi ya ash Shabab

    Kuongezeka opereseheni za jeshi la Somalia dhidi ya ash Shabab

    May 02, 2016 12:27

    Kamanda mmoja wa jeshi la Somalia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limeshadidisha operesheni zake dhidi ya kundi la ash Shabab kusini mwa nchi hiyo.

  • Al Shabab 14 watiwa mbaroni nchini Somalia

    Al Shabab 14 watiwa mbaroni nchini Somalia

    Apr 18, 2016 12:24

    Wizara ya Usalama wa Taifa ya Somalia imesema kuwa, nchi hiyo imeshadidisha operesheni zake za kiusalama na kijasusi dhidi ya kundi la al Shabab, operesheni ambazo zimefanikisha kutiwa mbaroni wanamgambo 14 wa kundi hilo.

  • Makamanda saba wa Al Shabab wauawa Somalia

    Makamanda saba wa Al Shabab wauawa Somalia

    Apr 05, 2016 09:50

    Makamanda saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab wameuawa Somalia katika oparesheni za pamoja za Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Somalia AMISOM na jeshi la nchi hiyo.

  • Magaidi 115 wa Al Shabab wauawa Somalia

    Magaidi 115 wa Al Shabab wauawa Somalia

    Mar 28, 2016 09:10

    Jeshi la Somalia limefanikiwa kuwaua magaidi zaidi ya 115 wa kundi la kitakfiri la Al Shabab katika jimbo la Galmudug nchini humo.

  • 'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'

    'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'

    Mar 28, 2016 02:42

    Imedaiwa kuwa Jordan na Uingerea zinashirikiana kwa siri kuisaidia Kenya kukabiliana na kundi la kigaidi la Al Shabab.

  • Wanamgambo kumi wa kundi la al Shabab wauawa Somalia

    Wanamgambo kumi wa kundi la al Shabab wauawa Somalia

    Mar 23, 2016 10:34

    Wanamgambo wasiopungua kumi wa kundi la al Shahab wameuawa katika mapigano kati yao na vikosi vya usalama vya Somalia.

  • Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Mar 22, 2016 03:34

    Magaidi zaidi ya 70 wa kundi la kitakfiri la al Shabab wameuawa katika mapigano na Jeshi la Somalia kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle

    Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle

    Mar 21, 2016 11:45

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwaua askari 73 wa jeshi la taifa la Somalia, katika makabiliano makali yaliyotokea jana huko Shabelle ya Chini, yapata kilomita 60 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS