Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Algeria yatahadharisha kuhusu kurejea magaidi barani Afrika

    Algeria yatahadharisha kuhusu kurejea magaidi barani Afrika

    Jan 29, 2018 10:16

    Waziri Mkuu wa Algeria ametahadharisha kuhusiana na hatari ya kurejea barani Afrika wanachama wa makundi ya kigaidi wakiwemo wa kundi la wakufurishaji la Daesh.

  • Israel ndiyo sababu kuu ya kujitenga Sudan Kusini

    Israel ndiyo sababu kuu ya kujitenga Sudan Kusini

    Jan 24, 2018 01:06

    Balozi wa Sudan nchini Algeria amesema kuwa utawala ghasibu wa Israel ndiyo sababu kuu ya kujitenga Sudan Kusini na ardhi ya Sudan.

  • Rais wa Iran alaani matamshi ya Rais wa Marekani dhidi ya watu wa Afrika

    Rais wa Iran alaani matamshi ya Rais wa Marekani dhidi ya watu wa Afrika

    Jan 16, 2018 11:03

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali maneno ya matusi ambayo Rais Donald Trump wa Marekani aliyatumia dhidi ya mataifa ya Afrika.

  • Waziri wa Sheria wa Algeria: Waalgeria 226 wamejiunga na Daesh

    Waziri wa Sheria wa Algeria: Waalgeria 226 wamejiunga na Daesh

    Dec 19, 2017 04:33

    Waziri wa Sheria wa Algeria ametangaza kuwa raia wa nchi hiyo wasiopungua 226 wameelekea katika nchi za Iraq na Syria kwa ajili ya kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh.

  •  Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya

    Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya

    Dec 18, 2017 11:00

    Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ameitaka Algeria ishiriki pakubwa katika kusogeza mbele mazungumzo ya kusaka amani ya nchi yake.

  • Nigeria yambadilisha kamanda wa kupambana na Boko Haram

    Nigeria yambadilisha kamanda wa kupambana na Boko Haram

    Dec 07, 2017 04:05

    Nigeria imeamua kumbadilidhsa kamanda wa jeshi anayeongoza vita dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram ikiwa imepita nusu mwaka tu tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo.

  • Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Dec 07, 2017 04:05

    Nchi za Kiafrika za Misri, Tunisia na Algeria zimetoa taarifa tofauti za kulaani uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Macron: Ni wakati wa kusonga mbele na kusahau zama za kukoloniwa Algeria

    Macron: Ni wakati wa kusonga mbele na kusahau zama za kukoloniwa Algeria

    Dec 06, 2017 22:06

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko Algeria katika ziara ya siku moja ambapo amesisitiza suala la kufunguliwa ukurasa mpya wa uhusiano kati ya nchi mbili hizio na kusema kuwa, hatoendelea kuwa mateka wa zama zilizopita za ukoloni wa Ufaransa.

  • Spika wa Bunge la Algeria: Umoja baina ya Waislamu ni neema ya Mwenyezi Mungu

    Spika wa Bunge la Algeria: Umoja baina ya Waislamu ni neema ya Mwenyezi Mungu

    Dec 06, 2017 01:23

    Spika wa Bunge la Algeria amesema kuwa ushirikiano unaondoa hitilafu na mifarakano na matunda yake makubwa ni utajiri mkubwa ambao tunalazimika kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili yake.

  • Sisitizo la kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya maghasibu wa Kizayuni

    Sisitizo la kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya maghasibu wa Kizayuni

    Nov 29, 2017 00:53

    Shakhsia na taasisi zisizo za kiserikali za nchini Algeria wamesisitiza kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya vitendo vya mabavu na ukandamizaji wa maghasibu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS