-
Baada ya taabu nyingi hatimaye Algeria yakubali kuwapokea wakimbizi wa Syria kuingia nchini humo
Jun 02, 2017 03:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imekubali kuwapokea wakimbizi wa Syria kuingia ardhi ya nchi hiyo, ikiwa ni baada ya wakimbizi hao kuteseka kwa muda mrefu katika mpaka wa taifa hilo na Morocco.
-
Mamia ya raia wa Algeria wajiunga na magenge ya kigaidi nchini Yemen
May 31, 2017 22:50Mtandao mmoja wa habari wa Algeria umetangaza kuwa, mamia ya vijana wa Algeria wamejiunga na magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Yemen.
-
Algeria yaitaka Misri isimamishe mashambulio ya anga ndani ya ardhi ya Libya
May 30, 2017 11:01Algeria imeitaka Misri isimamishe mashambulio ya anga inayofanya katika eneo la kaskazini mashariki mwa Libya ikisisitiza kuwa hatua hiyo haitotatua mgogoro wa kiusalama unaoikabili Misri.
-
Mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za Algeria kufanyiwa marekebisho
May 22, 2017 22:48Katibu Mkuu wa Wizara ya Masuala ya Dini na Waqfu katika mkoa wa Ghardaia nchini Algeria ametangaza kuwa mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za nchi hiyo utafanyiwa marekebisho kwa ushirikiano na wadau wa masuala ya kidini nchini humo.
-
Algeria: Nguvu za kijeshi Syria, Yemen na Libya zmesababisha maafa
May 22, 2017 03:05Spika wa Bunge la Algeria ametangaza kuwa, kutumiwa nguvu za kijeshi katika nchi za Syria, Yemen na Libya kumesababisha kutokea maafa ya kibinadamu katika nchi hizo.
-
Alkhamisi, Mei 18, 2017
May 18, 2017 00:00Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Shaaban 1438 Hijria mwafaka na tarehe 18 Mei mwaka 2017 Miladia.
-
Kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Taasisi ya Ushirikiano wa Polisi Afrika (AFRIPOL) chafanyika Algeria
May 14, 2017 22:02Kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Taasisi ya Ushirikiano wa Polisi Afrika (AFRIPOL) kimefanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers kwa kuhudhuriwa na makamanda wa Polisi wa nchi za Kiafrika na maafisa mbalimbali wa jumuiya za kieneo na kimataifa.
-
Wananchi wa Algeria wajitokeza kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge
May 04, 2017 09:44Wananchi wa Algeria waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo Alkhamisi wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge lijalo la nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Morocco yaituhumu Algeria kuwatesa wakimbizi wa Syria
Apr 23, 2017 03:24Serikali ya Morocco imeilaumu Algeria kwa kuwazingira wakimbizi wa Syria katika "mazingira yasiyo ya kibinadamu" kwenye mpaka wa kusini mwa Algeria.
-
Makumi ya Waislamu wajeruhiwa baada ya msikiti kuchomwa moto Algeria
Apr 15, 2017 09:14Makumi ya Waislamu nchini Algeria wamejeruhiwa kwa moto, baada ya msikiti waliokuwa wakishwali ndani yake kuchomwa moto makusudi.