-
Algeria yasisitiza kuhusu ulazima wa kuipa uzito kadhia ya Palestina
Nov 22, 2022 02:25Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza juu ya ulazima wa kuzingatiwa na kupewa uzito suala la Palestina. Ibrahim Boughali ametoa sisitizo hilo katika kikao na ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) kilichofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers.
-
Ijumaa tarehe 18 Novemba 2022
Nov 18, 2022 02:25leo ni Ijumaa tarehe 23 Rabiuthani 1444 Hijria sawa na tarehe 18 Novemba 2022.
-
Algeria: Kadhia ya Palestina ipo ndani ya vipaumbele vyetu
Nov 02, 2022 07:44Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) katika mji mkuu Algiers, Rais wa Algeria ameitaja kadhia ya Palestina kuwa suala muhimu na nyeti.
-
Bin Salman hatohudhuria kikao cha wakuu wa Arab League Algeria kwa ushauri wa madaktari
Oct 23, 2022 11:58Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman hatahudhuria mkutano ujao wa kilele wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu utakaofanyika nchini Algeria kwa kufuata ushauri wa madaktari wa kuepuka kusafiri. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais wa Algeria.
-
Makundi ya Palestina yaandaa hati ya maridhiano katika mkutano wao wa Algeria
Oct 13, 2022 08:06Makundi ya Wapalestina yameandaa hati ya maridhiano mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili uliofanyika nchini Algeria.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa nchini Algeria
Oct 11, 2022 11:16Jumapili ya juzi tarehe 9 Oktoba, Waziri Mkuu wa Ufaransa aliwasili katika mji mkuu wa Algeria Algiers akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake kwa ajili ya safari rasmi ya siku tatu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Algeria yataka utawala wa Kizayuni uondoke kwenye milima ya Golan ya Syria
Sep 28, 2022 02:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria kwa mara nyingine tena ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe kuikalia kwa mabavu milima ya Golan ya Syria.
-
Algeria yazialika harakati za Hamas na Fat'h kushiriki mazungumzo na maelewano
Sep 19, 2022 02:38Algeria imetangaza kuwa, imewaalika viongozi Wapalestina wa harakati za Hamas na Fat'h kushiriki katika mazungumzo ya maelewano ya kitaifa mjini Algiers.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria
Aug 28, 2022 13:02Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.
-
Algeria na Ufaransa zakubaliana kuanzisha ushirikiano mpya
Aug 28, 2022 07:06Algeria na Ufaransa zimesaini tamko la pamoja la "ushirikiano mpya" mwishoni mwa ziara ya siku tatu ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa nchini Algeria.