-
Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen
Sep 15, 2016 03:08Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumatano asubuhi ziliendelea kudondosha mabomu katika maeneo ya raia nchini Yemen kwa kushambulia eneo la Aal Aqab katika mji wa Sahar katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen
Sep 02, 2016 22:50Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali Marekani kwa kutoa misaada ya kijeshi na kisiasa kwa Saudi Arabia katika mashambulizi yake ya kudondosha mabomu dhidi ya watu wa Yemen.
-
Marekani, chanzo cha fitina katika Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 29, 2016 12:03Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa chanzo cha fitina zote na migogoro ya hivi karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu ni hatua za wazi na za siri za Marekani na waitifaki wake.
-
Sherehe za Umoja wa Yemen zagubikwa na hujuma za Saudia
May 23, 2016 02:59Sherehe za mwaka wa 26 wa kuungana Yemen mbili zimefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a huku ndege za kivita zikipita juu ya eneo la sherehe hizo siku ya Jumapili.
-
Ansarullah: Mazungumzo ya Yemen yatafanikiwa iwapo Saudia itasitisha vita
May 08, 2016 09:02Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imesema ili mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Yemen yafanikiwe, sharti utawala wa Saudi Arabia usitishe mashambulizi yake mara moja.
-
Onyo la Ansarullah kwa kutoheshimiwa usitishaji vita nchini Yemen
Apr 13, 2016 02:26Siku chache zikiwa zimepita tangu kutangazwa kusimamishwa vita nchini Yemen, msemaji wa harakati Ansarullah ya nchi hiyo amesema kuwa, iwapo makubaliano hayo hayataheshimiwa, basi fursa za kufanikiswa mazungumzo ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo zitapotea.
-
Kuanza usitishwaji vita Yemen
Apr 11, 2016 00:17Usitishwaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa Yemen ulianza jana usiku (Jumapili) kabla ya kuanza mazungumzo ya amani baina ya pande hasimu nchini Kuwait.
-
Kutimia mwaka mmoja wa mashambulio ya kivamizi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Mar 27, 2016 03:51Jumamosi ya jana tarehe 26 Machi ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Saudi Arabia ilipochukua uamuzi wa kuivamia na kuishambulia kijeshi nchi ya Yemen.
-
Ansarullah yasema iko tayari kufanya mazungumzo ya amani na Saudia
Mar 15, 2016 03:37Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya amani ili kuhitimisha mashambulio ya kivamizi ya Saudia dhidi ya ardhi ya Yemen.