-
Jumatano, tarehe Mosi Novemba, 2023
Nov 01, 2023 02:57Leo ni Jumatano tarehe 16 Rabiuthani 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2023.
-
Leo katika Historia, Jumanne, Oktoba 10, 2023
Oct 10, 2023 02:35Leo ni Jumanne tarehe 24 Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Oktoba 10 mwaka 2023.
-
Alkhamisi, Agosti 10, 2023
Aug 10, 2023 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria mwafaka na tarehe 10 Agosti 2022.
-
Alkhamisi tarehe 13 Aprili 2023
Apr 13, 2023 02:38Leo ni tarehe 22 mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Aprili 2023.
-
Wanawake wanaovaa Hijabu Austria wakabiliwa na chuki dhidi ya Uislamu
Mar 30, 2023 07:40Asasi moja isiyo ya kiserikali imeripoti kuwa, wanawake wanaovaa vazi la staha la Hijabu nchini Austria wanakabiliwa na ongezeko la ubaguzi na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu ikilinganishwa na wanaume katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Jumatano tarehe 26 Oktoba 2022
Oct 26, 2022 02:40Leo ni Jumatano tarehe 29 Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na Oktoba 26 mwakak 2022.
-
Kesi za kushambuliwa Waislamu nchini Austria zaongezeka
Aug 14, 2022 07:21Jinai za kushambuliwa Waislamu kwa misingi ya dini yao zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Austria.
-
Jumatano tarehe 13 Aprili 2022
Apr 13, 2022 13:28Leo ni Jumatano tarehe 11 mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 1443 Hijria sawa na Aprili 13 2022.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia
Mar 28, 2022 02:27Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Maelfu waandamana Ulaya kupinga chanjo ya lazima ya Covid-19
Jan 16, 2022 07:59Maelfu ya wananchi wa Austria wamejitokeza mabarabarani katika maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19.