-
Vienna, Austria yageuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga karantini na chanjo ya lazima ya corona
Nov 20, 2021 13:57Mji mkuu wa Austria, Vienna leo umegeuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga uwekaji karantini kwa sababu ya ugonjwa wa Covid-19 na upigaji chanjo ya lazima ya ugonjwa huo.
-
Rais Raisi: Miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali
Aug 24, 2021 02:46Rais Ebrahim Raisi amesema miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa nchi mbili za Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali wa uhusiano huo.
-
Jumanne tarehe 10 Agosti 2021
Aug 10, 2021 02:26Leo ni tarehe Mosi Mfunguo Nne Muharram mwaka 1443 Hijria sawa na Agosti 10 mwaka 2021.
-
Waislamu wa Austria kuishtaki serikali kwa kuhatarisha usalama wao, ubaguzi
May 30, 2021 12:42Kundi linaloongoza la Waislamu nchini Austria limesema lina mpango wa kufungua kesi dhidi ya serikali ya Kansela Sebastian Kurz kwa kuanika "ramani ya Uislamu" iliyozusha utata mkubwa.
-
Zarif afuta safari yake Austria akipinga kuwekwa bendera za Israeli kwenye majengo ya serikal
May 16, 2021 04:32Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amefuta safari yake rasmi nchini Austria akipinga hatua ya nchi hiyo ya kupeperusha bendera za utawala haramu wa Israel juu ya majengo ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Vienna, huku Israel ikiendelea kuwaua kinyama raia wa Palestina.
-
Jumanne tarehe 13 Aprili mwaka 2021
Apr 13, 2021 02:50Leo nii Jumanne tarehe 30 Shaabani 1442 Hijria sawa na Aprili 13 mwaka 2021.
-
Kansela wa Austria akososa "mchezo mchafu" wa EU katika ugavi wa chanjo ya corona
Mar 31, 2021 07:11Kansela Sebastain Kurz wa Austria ameutuhumu Umoja wa Ulaya kuwa haugawi kwa uadilifu chanjo ya corona na kueleza kwamba nchi yake iko kwenye mazungumzo na Russia ya kununua dozi milioni moja za chanjo iliyotengenezwa na nchi hiyo ya Sputnik V.
-
Indhari kuhusu ubaguzi katika utoaji chanjo ya COVID-19 duniani
Mar 16, 2021 02:37Ingawa kugunduliwa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona ni jambo ambalo liliibua matumaini duniani kote, lakini ugavi usio wa kiudilifu wala usawa wa chanjo hiyo ni jambo ambalo limewakasirisha wengi na hata kuibua kelele katika baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya. Kuhusiana na nukta hiyo Kansela Sebastian Kurz wa Austira amesema hakuna uadilifu katika usambazwaji chanjo ya COVID-19 barani Ulaya.
-
Vitisho, chuki dhidi ya Waislamu zaongezeka Austria baada ya shambulio la kigaidi
Nov 20, 2020 03:41Vitisho, hujuma na chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiasi cha kutisha nchini Austria, kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea nchini humo mapema mwezi huu wa Novemba.
-
Kansela wa Ujerumani akwepa kulaani vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu
Nov 11, 2020 14:43Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekwepa kulaani hatua na vitendo vya kuvunjia heshima thamani na matukufu ya Uislamu.