-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi Vienna nchini Austria
Nov 03, 2020 10:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Austria na kusema kuwa, kuna udharura wa kuwepo ushirikiano wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na mizizi ya ugaidi.
-
Mauaji ya watu 4 Vienna, Austria yasema wauaji ni wanachama wa kundi la Daesh
Nov 03, 2020 09:40Mkuu wa Jeshi la Polisi la Vienna ametangaza mapema leo kwamba wanaume wawili na mwanamke mmoja wameuawa katika hujuma iliyotokea jioni ya jana katikati mwa mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Jumatatu tarehe 26 Oktoba 2020
Oct 26, 2020 02:37Leo ni Jumatatu tarehe 9 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria sawa na Oktoba 26 mwaka 2020.
-
Jumapili tarehe 20 Septemba 2020
Sep 20, 2020 02:38Leo ni Jumapili tarehe Pili Safar 1442 Hijria sawa na Septemba 20 mwaka 2020.
-
Rouhani aitaka EU iishinikize Israel isitishe mashambulizi yake Syria
May 07, 2020 08:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linataraji kuwa Umoja wa Ulaya utaushinikiza utawala haramu wa Israel ukomeshe mashambulizi yake dhidi ya Syria.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani vinashabihiana na virusi vya corona
Feb 24, 2020 04:41Rais Hassan Rouhani amesema vikwazo vya Marekani vinafanana na virusi vya corona, ambapo wasi wasi unaozushwa navyo ni mkubwa kuliko ukweli wa mambo.
-
Jumamosi, 10 Agosti, 2019
Aug 10, 2019 01:17Leo ni Jumamosi tarehe 8 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1440 Hijria mwafaka na tarehe 10 Agosti 2019 Miladia.
-
Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi
Jun 13, 2019 06:33Bange la Austria limepitisha kwa wingi wa kura mpango wa kukipiga kufuli kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudia mjini Vienna.
-
Wanaharakati wa kiraia mjini Vienna wafanya maandamano kupinga uzayuni
Jun 02, 2019 07:50Mamia ya Waislamu na wanaharakati wa makundi ya kiraia nchini Austria, wamefanya maandamano mjini Vienna, wakipinga jinai na ukatili wa utazala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina.
-
Mbunge avaa mtandio Bungeni kupinga marufuku ya hijabu Austria
May 18, 2019 14:37Mbunge mmoja wa kujitegemea huko Austria amevaa mtandio kichwani ndani ya Bunge la nchi hiyo kulalamikia na kupinga muswada tata wa sheria inayotaka kupiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa mabinti wa Kiislamu wa shule za msingi katika nchi hiyo ya Ulaya.