-
Mwakilishi wa Baraza la Maulama Bahrain: Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo
Dec 06, 2017 11:45Sheikh Abdullah al Daqaq mwakilishi wa Baraza la Maulama la Bahrain na ambaye pia ni mwakilishi wa Ayatullah Sheikh Issa Qassim wa nchi hiyo amesisitiza hapa Tehran juu ya umuhimu wa kuwa na umoja katika hali ya hivi sasa katika ulimwengu wa Kiislamu na kueleza kuwa Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo.
-
Maandamano Bahrain kulaani utawala unaomdhulumu Sheikh Isa Qassim
Dec 02, 2017 23:15Maandamano mapya ya wananchi yameripotiwa kote Bahrain kwa lengo la kulaani utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa ambao unamdhulumu na kumnyima matibabu mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim.
-
Iran yakadhibisha 'madai ya kitoto' ya Bahrain kuhusu kushambuliwa bomba la mafuta
Nov 13, 2017 00:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha kile ilichokitaja kama 'madai ya kitoto' yaliyotolewa na Bahrain dhidi yake.
-
Al-Wifaq: Tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman ni za uzushi na za ulipizaji kisasi kwa Qatar
Nov 03, 2017 04:07Shaikh Hussain Al Daihi, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya al-Wifaq ya nchini Bahrain amesema kuwa, tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa harakati hiyo, ni za kubuni na ni za kulipiziana kisasi Bahrain na Qatar.
-
Amnesty, HRW zalaani hukumu dhidi ya familia ya mwanaharakati wa Bahrain
Nov 01, 2017 01:00Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yamekosoa vikali hatua ya mahakama moja ya Bahrain ya kutoa hukumu zisizo za kiuadilifu dhidi ya watu watatu wa familia ya mwanaharakati mashuhuri wa nchi hiyo anayeishi nje ya nchi.
-
Bahrain yataka Qatar ipokonywe uanachama wa baraza la PGCC
Oct 30, 2017 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain, Khalid bin Ahmed Aal Khalifah ametoa mwito wa kuondolewa Bahrain kwenye Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi (PGCC).
-
Wimbi kubwa la utiaji mbaroni wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain
Oct 21, 2017 23:36Polisi ya utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukabiliana kwa njia mbalimbali na wanaharakati wa kisiasa huko Bahrain huku wapinzani nchini humo wakiendelea kila uchao kuwekwa jela kwa visingizio visivyo na msingi.
-
Raia 15,000 wa Bahrain wanashikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa
Oct 21, 2017 04:14Mkuu wa Shirika la Amani kwa Ajili ya Demokrasia na Haki za Binadamu nchini Bahrain amesema raia 15,000 wametiwa nguvuni nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Wabahrain waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Oct 13, 2017 12:02Watu wa Bahrain wameandamana kulaani vikali mpango wa ufalme wa nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wafungwa wanawake wa Bahrain waanza mgomo wa kula
Oct 05, 2017 10:53Wafungwa wanawake katika jela moja nchini Bahran wameanza mgomo wa kula, kulalamikia ukandamizaji na hatua ya hivi karibu ya watawala wa Aal-Khalifa ya kuwawekea vizuizi vya kutembelewa na jamaa zao.