-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kulaani udhalimu wa ufalme wa nchi hiyo
May 26, 2017 03:00Wananchi wa Bahrain wameendeleza maandamano ya kitaifa ya kulaani udhalimu na umwagaji damu unaoendelezwa na utawala wa Aal Khalifa katika kijiji cha Diraz ambacho ni makao ya mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim.
-
Utawala wa Aal Khalifa wapanga kuchukua hatua ya kijeuri ya kumbaidisha Sheikh Isa Qassim
May 25, 2017 03:22Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kifidhuli na kijeuri wa kumbaidisha na kumpeleka uhamishoni Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, hatua ambayo endapo itatekelezwa itazidisha maradufu ghadhabu na hasira za wananchi wanamapinduzi wa Bahrain.
-
Hali si shwari Bahrain baada ya kuhujumiwa nyumba ya Sheikh Qassim
May 24, 2017 09:51Hali nchini Bahrain leo imeripotiwa kuwa mbaya siku moja baada wanajeshi wa ufalme wa Aal Khalifa kuvamia nyumba ya mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim na kuua wafuasi wake kadhaa.
-
Muqtada Sadr aitisha maandamano nje ya ubalozi wa Bahrain, Baghdad
May 24, 2017 03:23Sayyid Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq amewataka wananchi wa taifa hilo la Kiarabu wakusanyike nje ya ubalozi wa Bahrain mjini Baghdad, kulalamikia ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na viongozi wao nchini humo.
-
Iran: Mauaji ya waandamanaji Bahrain, matokeo ya awali ya safari ya Trump Riyadh
May 23, 2017 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushambuliwa na kuuawa wananchi wa Bahrain waliokuwa wakishiriki maandamano ya amani ni matokeo ya kwanza ya safari ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump nchini Saudi Arabia.
-
Askari wa utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa wavamia eneo la Diraz, wajeruhi makumi na kuua
May 23, 2017 10:08Askari wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamevamia eneo la Diraz na kuwashambulia Waislamu wanaomuunga mkono Sheikh Isa Qassim, kiongozi mkubwa wa kidini wa Waislamu wa Shia.
-
Amir-Abdollahian: Mazungumzo ndio njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Bahrain
May 21, 2017 09:17Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema katika radiamali yake kwa hukumu ya mwaka mmoja iliyotolewa na mahakama ya Bahrain dhidi ya Ayatullah Issa Qassemi mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo kwamba, hatua hiyo ya ghadhabu ya kimahakama haisaidii chochote katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Wanazuoni Bahrain: Hukumu dhidi ya Sheikh Qassim ni tangazo la vita
May 21, 2017 09:12Wanazuoni wa Kiislamu nchini Bahrain wamelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kumhukumu msomi mtajika nchini humo Sheikh Issa Qassim kifungo cha mwaka mmoja na kusisitiza kuwa hukumu hiyo ni sawa na tangazo la vita.
-
Ijumaa, Mei 12, 2017
May 10, 2017 00:53Leo ni Ijumaa, tarehe 15 Shaaban mwaka 1438 Hijria, sawa na Mei 12 mwaka 2017 Miladia.
-
Utawala wa Bahrain waahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, wahofia machafuko
May 07, 2017 09:57Kwa mara nyingine tena na kama ilivyotarajiwa, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, Kiongozi wa ngazi ya juu wa kidini nchini Bahrain kutokana na hofu ya kushindwa kudhibiti hali ya mambo nchini ikiwa utatoa hukumu dhidi yake.