-
Ripoti ya kushtua kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Bahrain
Apr 04, 2016 02:45Taasisi moja isiyo ya kiserikali inayotetea haki za binadamu nchini Bahrain imetoa ripoti ya kushtusha kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini humo katika mwaka uliopita.
-
Mahakama za utawala wa Aal Khalifa zaendelea kutoa hukumu za kidhalimu dhidi ya Wananchi wa Bahrain
Mar 29, 2016 23:40Mahakama moja nchini Bahrain imetoa hukumu ya kidhalimu ya vifungo jela kwa raia kumi wa nchi hiyo kwa madai ya kuwashambulia askari polisi katika maandamano yaliyofanyika katika kijiji kimoja ambacho wakaazi wake ni Waislamu wa Kishia.
-
Wabahrain watano wavuliwa uraia na kuhukumiwa kifungo jela
Mar 25, 2016 21:12Mahakama moja nchini Bahrain imewahukumu vifungo vya miaka mitano hadi 15 jela wapinzani wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa.
-
Wahajiri wa Kiarabu waandamana kupinga jinai za Saudia
Mar 22, 2016 23:14Wahajiri Waarabu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wakipinga jinai na uhalifu unaoendelea kufanywa na serikali ya Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali ya Mashariki ya Kati.
-
Bahrain inazidi kuwakandamiza wapinzani
Mar 13, 2016 03:50Shirika moja la kutetea haki za binadamu Bahrain limeutuhumu utawala wa kifalme nchini humo kuwa umezidisha ukandamizaji na utesaji wapinzani wa kisiasa.
-
Watetezi: Bahrain inakiuka haki ya faragha na uhuru wa kujieleza
Mar 11, 2016 04:50Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Bahrain limeelezea wasiwasi kuhusu hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kuendelea kukandamiza haki ya faragha na uhuru wa kujieleza wa wananchi wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal Khalifa wafanya njama za kueneza chuki dhidi ya Mashia Bahrain
Mar 07, 2016 23:42Mkuu wa masuala ya uhuru wa kidini katika shirika la kutetea haki za binadamu la Bahrain ametangaza kuwa kuwatuhumu Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo kwa uhaini kunakofanywa na vyombo vya habari vyenye mfungamano na utawala wa Aal Khalifa sasa limekuwa ni jambo la kawaida.
-
Umoja wa Mataifa waukosoa utawala wa Aal Khalifa kwa kubadili muundo wa jamii ya Bahrain
Mar 04, 2016 11:05Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa viongozi wa utawala wa Bahrain wamekusudia kubadili muundo wa kijamii wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal Khalifa washindwa kuzuia kusaliwa Sala ya Ijumaa Bahrain
Feb 26, 2016 23:29Hatua za askari polisi wa utawala wa Aal Khalifa za kutaka kuwazuia wananchi wa Bahrain wasishiriki kwenye Sala ya Ijumaa zimegonga mwamba.
-
Hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain
Feb 26, 2016 12:50Matukio yanayojiri nchini Bahrain yanaonyesha kuwa utawala wa Aal Khalifa unazidisha hatua za ukandamizaji dhidi ya wananchi kiasi kwamba kuwatia nguvuni na kuwafungulia kesi wanaharakati wa kisiasa kunazidi kuchukua sura pana zaidi inayozidi kutia wasiwasi siku baada ya siku.