-
Nchi 4 za magharibi mwa Afrika zaanza operesheni kali dhidi ya Boko Haram
Jan 10, 2018 12:36Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, kikosi cha majeshi ya nchi nne za magharibi mwa Afrika kimeanza hujuma kali iliyopewa jina la Deep Punch 2 dhidi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Mateka 700 waachiwa huru kutoka mikononi mwa Boko Haram
Jan 03, 2018 04:18Maafisa wa jeshi la Nigeria wametangaza kuwa watu 700 waliokuwa wametakwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo wameachiwa huru.
-
Kiongozi wa Boko Haram aibuka, adai wamehusika katika mashambulizi
Jan 02, 2018 11:30Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, Abubakar Shekau ametoa kanda mpya ya video na kudai kuwa kundi hilo ndilo lililohusika na wimbi la mashambulizi ya bomu katika sherehe za kufunga mwaka, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Boko Haram yaua watu watatu nchini Cameroon
Dec 24, 2017 12:10Duru za kieneo zimetangaza kuwa watu wasiopungua watatu wameuawa katika shambulio la kigaidi la kundi la wakufurishaji la Boko Haram, kaskazini mwa Cameroon.
-
Jeshi la Nigeria laua wanamgambo 20 wa kundi la kigaidi la Boko Haram
Dec 20, 2017 12:49Jeshi la Nigeria limetangaza leo kuwa limewaua wanamgambo 20 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni linazoendelea kufanya ili kutokomeza mabaki ya magaidi hao.
-
Vita dhidi ya Boko Haram vyazidi kuungwa mkono nchni Nigeria
Dec 15, 2017 00:45Wakuu wa mikoa tofauti ya Nigeria jana walikubaliana na mpango wa kutenga kitita cha dola bilioni moja kwa ajili ya kuisaidia Serikali Kuu kupambana na genge la kigaidi la Boko Haram.
-
Watu watano wauawa na wanamgambo wa Boko Haram Nigeria
Dec 14, 2017 04:12Watu wasiopungua watano wameuawa katika shambulio la hivi kkaribuni kabisa la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Boko Haram waua watu wasiopungua 13 katika jimbo la Borno nchini Nigeria
Dec 02, 2017 11:35Washambuliaji wa kujitoa mhanga wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wamewaua watu wasiopungua 13 katika shambulio walilofanya leo kwenye soko moja katika mji wa Biu ulioko katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Kamanda wa Boko Haram atiwa mbaroni, wenzake 4 wauawa, mateka 212 wakombolewa
Nov 29, 2017 23:55Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewakomboa raia wengine 212 waliokuwa wakishikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa.
-
Boko Haram waua wanajeshi watatu kaskazini mashariki mwa Nigeria
Nov 27, 2017 11:33Duru za usalama za Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa wanajeshi watatu katika shambulizi la kigaidi lililofanywa na kundi la Boko Haram katika mji wa Magumeri, wa jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.