-
Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds
Nov 02, 2018 04:34Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 22
Oct 22, 2018 03:38Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuangazie baadhi ya matukio ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa……
-
Ijumaa tarehe 7 Septemba 2018
Sep 06, 2018 21:50Leo ni Ijumaa tarehe 26 Dhulhija 1439 Hijria sawa na tarehe 7 Septemba 2018.
-
Watu elfu tatu watiwa mbaroni katika operesheni kubwa ya msako wa wahalifu nchini Brazil
Aug 26, 2018 22:48Polisi ya Brazil imewatia mbaroni watu elfu tatu katika operesheni kubwa ya msako wa watu wanaohusishwa na vitendo mbalimbali vya uhalifu.
-
Zarif awasili Brazil baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Senegal
Apr 10, 2018 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Brazil mapema leo Jumanne katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadha za Afrika na Amerika ya Latini.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 8
Jan 08, 2018 03:04Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie matukio mawili matatu ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa. Tuandamane sote hadi tamati ya kipindi……Karibu…….
-
Watu tisa wauawa katika ghasia ndani ya gereza Brazil
Jan 02, 2018 11:40Watu wasiopungua tisa wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika ghasia zilizotokea jana Jumatatu ndani ya gereza nchini Brazil huku wafungwa zaidi ya 100 wakitoroka.
-
Alkhamisi tarehe 7 Septemba, 2017
Sep 06, 2017 23:49Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Dhulhija 1438 Hijria sawa na 7 Septemba, 2017
-
Kikao cha kushukuru mchango wa Waislamu chafanyika nchini Brazil
Jul 07, 2017 03:20Kikao cha kuheshimu na kutambua mchango wa jamii ya Waislamu wa Brazil kilifanyika jana katika bunge la nchi hiyo.
-
Brazil yalaani ujenzi mpya wa nyumba za Mayahudi Ukingo wa Magharibi
Apr 05, 2017 03:17Brazil imelaani uamuzi uliopasishwa hivi karibuni na baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.