-
Wanajeshi 8 wauawa katika mripuko kaskazini mwa Burkina Faso
Sep 26, 2018 23:30Askari wanane wa jeshi la Burkina Faso wamepoteza maisha kufuatia mripuko wa bomu uliotokea jana Jumatano kaskazini mwa nchi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taiwan ajiuzulu baada ya Burkina Faso kukata uhusiano na kisiwa hicho
May 24, 2018 09:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Taiwan, Joseph Wu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya Burkina Faso kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na kisiwa hicho ambacho China inadai ni milki yake.
-
Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa
Jan 14, 2018 04:29Naibu Spika wa Bunge la Burkina Faso ametoa mwito wa kusimamishwa utekelezwaji wa mpango wa Marekani wa kuuhamishia mjini Quds Tukufu, ubalozi wake ulioko Tel Aviv.
-
Rais wa Ufaransa akaribishwa Burkina Faso kwa shambulizi la guruneti
Nov 28, 2017 04:09Kwa akali watu watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la guruneti nchini Burkina Faso, lililofanyika masaa machache kabla ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuanza ziara ya kuitembelea nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Rais wa zamani wa Burkina Faso kupandishwa kizimbani mwezi ujao
Feb 16, 2017 04:23Rais wa zamani wa Burkina Faso anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Machi, kwa kosa la kutumia mkono wa chuma kuzima maandamano dhidi ya serikali yake mwaka 2014.
-
Polisi Burkina Faso waua magaidi katika makabiliano makali
Oct 24, 2016 04:38Polisi nchini Burkina Faso wamempiga risasi na kumuua gaidi mmoja na wengine wawili wanasakwa baada ya ufyatulianaji risasi katika mji mkuu wa nchi hiyo Ouagadougou.
-
Ijumaa tarehe 05 Agosti 2016
Aug 05, 2016 01:40Leo ni Ijumaa tarehe Pili Dhulqaada 1437 Hijria sawa 5 Agosti 2016.
-
Mahakama ya Burkina Faso yasisitizia kutekelezwa hukumu ya kutiwa mbaroni Blaise Compaoré
May 02, 2016 23:29Mahakama ya kijeshi ya Burkina Faso imesema kuwa, hukumu ya kutiwa mbaroni rais wa zamani wa nchi hiyo, Blaise Compaoré na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Guillaume Soro, lazima itatekelezwa.