Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Visa vya utesaji watu Burundi vyaitia hofu UN, yataka hatua zichukuliwe

    Visa vya utesaji watu Burundi vyaitia hofu UN, yataka hatua zichukuliwe

    Nov 25, 2023 22:54

    Kamati ya Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu dhidi ya Utesaji, CAT imetamatisha kikao chake cha 78 mjini Geneva, Uswisi kwa kutoa mahitimisho ya ripoti za mataifa sita ikiwemo Burundi ambayo inaonesha wasiwasi juu ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa dhidi ya Mateso na adhabu za kikatili zisizoheshimu utu.

  • Matukio ya Kiislamu wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Mar 04, 2023 00:24

    Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha maeneo tofauti ya Afrika Mashariki na Kati. Yameandaliwa na mwandishi wetu Harith Subeit. Ingia kwenye Sauti kusikiliza ripoti hiyo iliyo na matukio tofauti ya Kiislamu wiki hii.

  • Waasi 40 wa Burundi wauawa mashariki mwa Kongo DR

    Waasi 40 wa Burundi wauawa mashariki mwa Kongo DR

    Nov 28, 2022 03:46

    Makumi ya waasi raia wa Burundi wameuawa katika operesheni ya pamoja ya wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi mashariki mwa DRC.

  • Burundi yafungua mipaka yake na Rwanda baada ya miaka 5

    Burundi yafungua mipaka yake na Rwanda baada ya miaka 5

    Oct 24, 2022 00:32

    Serikali ya Burundi imetangaza kufungua mipaka ya ardhini ya nchi hiyo na jirani yake Rwanda, baada ya kufungwa kwa kipindi cha miaka mitano.

  • Rais wa Burundi amtimua Waziri Mkuu kufuatia tetesi za mpango wa mapinduzi

    Rais wa Burundi amtimua Waziri Mkuu kufuatia tetesi za mpango wa mapinduzi

    Sep 07, 2022 08:09

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amemfuta kazi waziri mkuu wake, Alain Guillaume Bunyoni baada ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi yake.

  • Burundi yatuma wanajeshi DRC kufuatia uamuzi wa EAC

    Burundi yatuma wanajeshi DRC kufuatia uamuzi wa EAC

    Aug 17, 2022 07:43

    Burundi imekuwa nchi ya kwanza kutuma wanajeshi wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia uamuzi wa karibuni hivi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa kutuma kikosi cha pamoja cha kieneo katika nchi hiyo ili kwenda kupambana na magenge ya waasi na wanamgambo.

  • HRW yavituhumu vyombo vya dola Burundi kwa ukiukaji wa haki za binadamu

    HRW yavituhumu vyombo vya dola Burundi kwa ukiukaji wa haki za binadamu

    May 19, 2022 08:10

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, limesema maafisa wa usalama nchini Burundi wamehusika na dhulma dhidi ya raia wanaoshukiwa kuegemea upande wa upinzani, au kushirikiana na makundi ya watu wenye silaha.

  • Burundi: Uhusiano na Rwanda utaimarika zaidi ikitukabidhi wahusika wa jaribio la mapinduzi

    Burundi: Uhusiano na Rwanda utaimarika zaidi ikitukabidhi wahusika wa jaribio la mapinduzi

    May 15, 2022 03:36

    Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi, amesema uhusiano wa nchi yake na Rwanda utakuwa mzuri zaidi iwapo watu waliopanga na kufadhili jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya 2015 wanaodhaniwa kuwa wako mafichoni jijini Kigali watarejeshwa mjini Gitega kufunguliwa mashtaka.

  • Wanajeshi wa Burundi 'waonekana' mashariki mwa Kongo DR

    Wanajeshi wa Burundi 'waonekana' mashariki mwa Kongo DR

    Jan 05, 2022 23:20

    Wanajeshi wa Burundi wameripotiwa kuingia katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Rais wa Tanzania: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi

    Rais wa Tanzania: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi

    Oct 22, 2021 11:13

    Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka ya nchi hizo mbili. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mazungumzo yake huko Chamwino Dodoma na Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ambaye yupo nchini humo kwa ziara ya siku tatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS