-
UN: Ukiukaji wa haki za binadamu unaendelea kufanyika nchini Burundi
Sep 17, 2021 22:01Kamisheni ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Burundi bado ni ya maafa na mbaya sana licha ya Rais wa nchi hiyo kuahidi kuwa ataboresha hali hiyo.
-
EU kuiondolea Burundi vikwazo, mchakato umeanza
Jun 22, 2021 21:56Umoja wa Ulaya umeanzisha mchakato wa kuiondolea Burundi vikwazo ambavyo vilifunga kabisa mlango wa kupewa misaada serikali ya Bujumbura.
-
Waislamu Burundi wamjia juu waziri aliyeivunjiwa heshima adhana
Jun 10, 2021 08:47Waislamu Nchini Burundi wamemkosoa vikali waziri mmoja nchini humo kwa kuivunjia heshima Adhana, ambao ni mwito kwa Waislamu kwenda kutekeleza ibada ya Swala, moja ya nguzo muhimu za dini hiyo tukufu.
-
Kenya na Burundi zakubaliana kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jun 01, 2021 03:48Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenzake wa Burundi, Evariste Ndayishimiye wamesaini mapatano ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa Nairobi na Bujumbura katika nyuga mbalimbali.
-
Tanzania kuisaidia Burundi kujiunga na jumuiya ya SADC
Mar 06, 2021 04:46Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi ameiahidi nchi ya Burundi kuwa Tanzania itashirikiana nayo katika harakati zake za kuomba kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
-
Hatimaye Jumuiya ya Waislamu Burundi yapata kiongozi mpya + SAUTI
Feb 08, 2021 12:30Jumuia ya Waislamu nchini Burundi (COMIBU) hatimaye imepata kiongozi mpya baada ya kubakia wazi kwa muda wa miezi 5. Kiongozi huyo mpya Sheikh Hassan Nyamweru aliyeshinda uchaguzi kwa asilimia 84 ya kura dhidi ya mpinzani wake Sheikh Salum Nayabagabo aliyepata kura 32. Amida ISSA na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Askari mwingine wa UN raia wa Burundi auawa CAR, wawili wajeruhiwa
Jan 16, 2021 09:50Askari mwingine wa Umoja wa Mataifa kutoka Burundi ameuawa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR na wengine wawili wamejeruhiwa, kitendo ambacho kimelaaniwa vikali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres.
-
Burundi yataka kufungwa ofisi ya mjumbe maalumu wa UN nchini humo
Nov 20, 2020 23:14Serikali ya Burundi imesema haikaribishi tena kuwepo na Ofisi ya Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini humo, na kwamba taifa hilo lina amani baada ya kushuhudia mgogoro wa kisiasa kwa miaka kadhaa.
-
Jeshi la Rwanda lakamata wanamgambo 19 wa Burundi mpakani
Oct 04, 2020 04:05Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) limewatia mbaroni wanamgambo 19 wa Burundi waliokuwa wamejizatiti kwa silaha katika mpaka wa nchi mbili hizo jirani.
-
Kundi la kwanza la wakimbizi wa Burundi larejea nyumbani kutoka Rwanda
Aug 27, 2020 21:53Mamia ya wakimbizi raia wa Burundi walioko nchini Rwanda wameanza kurejea nchini kwao, miaka mitano baada ya kukimbia mapigano na ghasia za kisiasa.