-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la wabeba silaha Burundi
Aug 24, 2020 23:08Kwa akali watu 15 wameuawa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia wakazi wa eneo moja huko kusini mwa Burundi.
-
Burundi yabadili sera, yaanza upimaji COVID-19 mjini Bujumbura
Jul 07, 2020 22:25Serikali ya Burundi imezindua operesheni ya upimaji mkubwa wa maambukizi ya COVID-19 katika mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Bujumbura.
-
Jumatano tarehe Mosi Julai mwaka 2020
Jul 01, 2020 03:41Leo ni tarehe 9 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe Mosi Julai mwaka 2020.
-
Baraza jipya la Mawaziri lala kiapo nchini Burundi + Sauti
Jul 01, 2020 03:12Baraza jipya la mawaziri wa serikali ya Burundi lilikula kiapo jana Jumanne mbele ya rais na mabaraza ya bunge na seneti. Chama kikuu cha upinzani cha CNL hakijashirikishwa katika serikali hiyo. Hamida Issa na malezo zaidi kutoka Bujumbura na maelezo zaidi.
-
Jeshi la Rwanda laua watu 4 waliobeba silaha kutoka Burundi
Jun 28, 2020 03:10Jeshi la Rwanda limetangaza habari ya kuua watu wanne waliokuwa wamebeba silaha raia wa Burundi kusini mwa nchi hiyo.
-
Marekani yafuta visa za raia wa Burundi kufuatia mgogoro wa kidiplomasia
Jun 24, 2020 02:50Marekani imeacha kutoa visa kwa raia wa Burundi wanaotaka kwenda nchini humo, hatua ambayo imeibua mgogoro wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.
-
Ndayishimiye aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi, aahidi kuliunganisha taifa+SAUTI
Jun 18, 2020 08:55Evariste Ndayishimiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Burundi ameapishwa leo Alkhamisi kuwa rais mpya wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Pierre Nkurunziza.
-
Rais mteule wa Burundi kuapishwa Alkhamisi
Jun 16, 2020 03:31Rais mteule wa Burundi, Evariste Ndayishimiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa hivi karibuni anatazamiwa kuapishwa Alkhamisi hii Juni 18 kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Pierre Nkurunziza.
-
Mahakama ya Katiba yaamua Ndayishimiye aapishwe mapema kuwa rais wa Burundi
Jun 12, 2020 23:59Mahakama ya Kikatiba ya Burundi imeamua kuwa Evariste Ndayishimiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Burundi aapishwe mapema kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Pierre Nkurunziza.
-
Baraza la mawaziri Burundi lajadili mustakbali wa nchi baada ya kifo cha Nkurunziza
Jun 11, 2020 08:57Burundi leo Alkhamisi imeitisha mkutano wa Baraza la Mawaziri kujadili mustakbali wa nchi hiyo baada ya kifo cha ghafla cha rais Pierre Nkurunziza Jumatatu iliyopita.