-
Machafuko ya karibuni Burundi, yalalamikiwa vikali
Jan 18, 2017 13:19Machafuko ya hivi karibuni yaliyotokea nchini Burundi na kuendelea kuvunjwa haki za binadamu nchini humo yameendelea kulalamikiwa vikali.
-
Kuondoka askari wa Burundi katika kikosi cha AMISOM; radiamali kwa uamuzi wa Umoja wa Ulaya
Jan 17, 2017 23:03Hatimaye baada ya vuta nikuvute baina ya serikali ya Burundi na Umoja wa Ulaya ambao ndio mlipaji mkuu wa mishahara ya kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM, serikali ya Bujumbura imeanza kuondoa askari wake katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Burundi yaanza kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia
Jan 17, 2017 01:02Serikali ya Burundi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake wanaohudumu katika Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kutokana na mgogoro wa mshahara.
-
Taasisi ya haki za binaadamu nchini Burundi yapigwa marufuku na serikali
Jan 03, 2017 13:48Taasisi ya miaka mingi iliyokuwa ikiendesha shughuli za kibinaadamu nchini Burundi imepigwa marufuku na serikali.
-
Polisi: Waziri auawa kwa kufyatuliwa risasi Bujumbura, Burundi
Jan 01, 2017 03:49Waziri wa Mazingira wa Burundi ameuawa kwa kufyatuliwa risasi na mtu asiyejulikana usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Bujumbura.
-
Burundi yatishia kuondoa wanajeshi wake Somalia
Dec 31, 2016 23:25Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametishia kuwa atawaondoa wanajeshi wa nchi yake walioko Somalia iwapo askari hao wanaohudumu katika kikosi cha Umoja wa Afrika UNISOM hawatalipwa mshahara wao.
-
Burundi yatishia kuishtaki AU na kuondoa askari wake Somalia
Dec 31, 2016 03:36Burundi imetishia kuushataki Umoja wa Afrika AU sambamba na kuwaondoa askari wake nchini Somalia wanaohudumu chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Amisom.
-
UN kushiriki katika ufumbuzi wa mgogoro wa Burundi
Dec 28, 2016 11:09Katibu Mkuu Mteule wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo una irada thabitii ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa ndani nchini Burundi.
-
Burundi yapasisha sheria kali ya kuzidhibiti asasi za kigeni
Dec 25, 2016 04:14Bunge la Burundi limepasisha muswada wa sheria inayotaka kudhibitiwa asasi zisizo za kiserikali za kigeni, siku chache baada ya Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo kudai kuwa asasi hizo zinafanya kampeni kubwa dhidi ya serikali yake.
-
Wapinzani wazidi kutiwa mbaroni Burundi, wasiwasi waongezeka nchini
Dec 19, 2016 11:28Mkuu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Burundi (Iteka) amesema anatiwa wasiwasi na kuzidi kutiwa mbaroni wapinzani nchini humo.