Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Burundi yakadhibisha tuhuma za kukiuka haki za binadamu

    Burundi yakadhibisha tuhuma za kukiuka haki za binadamu

    Dec 18, 2016 01:08

    Serikali ya Burundi imekana kwamba inakiuka haki za binadamu licha ya kuendelea mwenendo wa kutoweka raia nchini humo katika mazingira ya kutatanisha.

  • Rwanda yataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake, Burundi

    Rwanda yataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake, Burundi

    Dec 17, 2016 13:16

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, nchi yake inataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake Burundi kupitia njia ya mazungumzo

  • Mkapa yuko Burundi kwa ajili ya kuhuisha mazungumzo ya amani

    Mkapa yuko Burundi kwa ajili ya kuhuisha mazungumzo ya amani

    Dec 08, 2016 09:59

    Benjamin Mkapa mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mgogoro wa Burundi yuko mjini Bujumbura kwa shabaha ya kuhuisha mazungumzo ya amani ya nchi hiyo inayokabiliwa na mgogoro wa kisiasa.

  • Polisi watiwa mbaroni Burundi kwa kutaka kumuua msemaji wa Rais

    Polisi watiwa mbaroni Burundi kwa kutaka kumuua msemaji wa Rais

    Dec 04, 2016 03:59

    Jeshi la polisi nchini Burundi limewatia mbaroni maafisa watatu wa jeshi hilo kwa tuhuma za kushiriki katika jaribio la kutaka kumuua Willy Nyamitwe, msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza.

  • Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani

    Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani

    Dec 02, 2016 03:48

    Rais Mstaafu wa Tanzania ambaye pia ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi amezitaka pande husika katika nchi hiyo kushikamana na kuheshimu mchakato wa amani na hatua zilizopigwa za kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Maelfu waandamana Burundi wakiupinga Umoja wa Mataifa na Ubelgiji

    Maelfu waandamana Burundi wakiupinga Umoja wa Mataifa na Ubelgiji

    Nov 27, 2016 04:17

    Maelfu ya wananchi wa Burundi wameandamana katika mji mkuu Bujumbura wakiupinga Umoja wa Mataifa pamoja na siasa za Ubelgiji za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.

  • UN yapasisha mpango wa kuundwa kamati ya kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu Burundi

    UN yapasisha mpango wa kuundwa kamati ya kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu Burundi

    Nov 24, 2016 10:03

    Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimepasisha mpango wa kuundwa kamati ya uchunguzi kuhusiana na vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Burundi.

  • Waandishi wa habari watiwa nguvuni Burundi kwa kutaja majina ya watuhumiwa wa ukandamizaji

    Waandishi wa habari watiwa nguvuni Burundi kwa kutaja majina ya watuhumiwa wa ukandamizaji

    Nov 12, 2016 10:46

    Polisi nchini Burundi imewatia nguvuni waandishi wa habari wawili kufuatia kutangaza moja ya majina ya watu wanaodaiwa kuhusika katika vitendo vya ukandamizaji nchini humo.

  • Machafuko ya umwagaji damu yaendelea kushuhudiwa Burundi

    Machafuko ya umwagaji damu yaendelea kushuhudiwa Burundi

    Oct 31, 2016 04:01

    Machafuko na mapigano ya umwagaji damu yameendelea kushuhudiwa nchini Burundi.

  • Serikali ya Burundi yaitaarifu rasmi Mahkama ya ICC juu ya hatua yake ya kujiondoa

    Serikali ya Burundi yaitaarifu rasmi Mahkama ya ICC juu ya hatua yake ya kujiondoa

    Oct 28, 2016 01:22

    Serikali ya Burundi imeitaarifu rasmi Mahakama ya Jinai ya ICC juu ya kujiondoa kwake kutoka mahakama hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS