-
Karenga Ramadhan ataka kulindwa waandishi habari Burundi
Oct 26, 2016 03:21Baraza la Taifa la Mawasiliano la Burundi limetaka kulindwa waandishi habari na kupewa uhuru zaidi utendaji kazi katika sekta hiyo.
-
SAUTI: Serikali ya Burundi yatangaza kuyafuta mashirika matano kwa kushindwa kuwajibika, huku ikituhumiwa kwa usiasa
Oct 24, 2016 13:37Hatua hiyo imetajwa kuwa ni baada ya mashirika hayo kuendeleza shughuli zake kwa siri na kinyume cha sharia.
-
Mwandishi wa habari Mmarekani atiwa mbaroni nchini Burundi
Oct 24, 2016 04:46Polisi nchini Burundi wamemsaili mwandishi wa habari raia wa Marekani na mtu aliyekuwa ameandamana naye kwa tuhuma ya kuharibu nyaraka zinazohusu kesi ya jinai.
-
Baraza la Usalama laelezea wasiwasi wake kwa hatua ya Burundi ya kukataa kutumwa polisi wa UN
Oct 15, 2016 00:44Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi mkubwa lilionao kutokana na hatua ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza ya kukataa kutumwa nchini Burundi polisi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kusimamia amani nchini humo.
-
Bunge la Burundi lapasisha muswada wa kujiondoa mahakama ya ICC
Oct 12, 2016 12:25Bunge la Burundi leo limepasisha muswada wa kujiondoa nchi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) baada ya Umoja wa Mataifa kuanza kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo.
-
Machafuko Burundi, kiongozi wa chama tawala auawa na watu wasiojulikana
Oct 11, 2016 12:39Mmoja wa viongozi wa chama tawala CNDD-FDD nchini Burundi ameripotiwa kuuawa katika shambulizi lililofanywa na watu wasiojulikana.
-
Mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahajiri katika nchi jirani
Sep 25, 2016 00:48Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Burundi wamehamia katika nchi jirani.
-
UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi
Sep 21, 2016 10:38Kundi la wachunguzi wa Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari yanayonukia huko Burundi na kueleza kuwa, mwenendo jumla wa kauli zenye kuleta mgawanyiko wa kikabila zinazotolewa na serikali ya nchi hiyo zinamaanisha kuwa mzozo unaweza kuenea hadi katika nchi nyingine za Kiafrika.
-
Burundi: Raia wetu waliokimbia nchi kwa machafuko wanaendelea kurudi kwa hiari
Sep 15, 2016 23:31Serikali ya Burundi imesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 30 raia wa nchi hiyo wamerejea makwao katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni.
-
Waziri wa masuala ya wakimbizi wa Uganda atembelea Burundi
Sep 14, 2016 23:58Waziri wa Nchi wa serikali ya Uganda katika masuala ya wakimbizi, Musa Ecweru, amefanya ziara nchini Burundi kwa lengo la kujadili masuala ya wakimbizi wa nchi hiyo.